Anguko la vijana wa kileo

Anguko la vijana wa kileo

Uchi usikieni tuh.
1735741026173.jpg
 
usipokua makini dunia ya leo kua na mtoto wa kike ni 70% hasara.

kuna mtu unakuta ana watoto 6 girls full set

very disappointment
Ndugu yangu bora wa kike atakuletea Mimba, atajuta atatoboa kwenye ajira. Atakuachia mjukuu ulee yeye aende kwenye ajira ajipange.

Je wa kiume, madawa, ushoga, addiction za kishamba siku hizi kibaoooo.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Wewe katembee na lishangazi hukoo 😅 😅 😅 😅 😅 😅
Mkuu ebu niwie radhi bana 😁😁😁😁
Kesho takua off offisini ili niwe na single maza wangu...

Nataka nimshone kwanza mpaka mida ya jioni ntafungua ofisi ila pia jmosi takua na kipindi cha biology na mtoto wa form 3 ambaye anasema ajaelewa topic ya repro vzri..

Kwa sasa shangazi dory naambiwa kalala et kachoka
 
Wewe si ndo ulileta mada ya kuacha mambo hayo baada ya kunusurika kuopoa gomaaa 😅😅😅😅😅ila ujana bhana ushasahau kabisaaa
 
Mkuu ebu niwie radhi bana 😁😁😁😁
Kesho takua off offisini ili niwe na single maza wangu...

Nataka nimshone kwanza mpaka mida ya jioni ntafungua ofisi ila pia jmosi takua na kipindi cha biology na mtoto wa form 3 ambaye anasema ajaelewa topic ya repro vzri..

Kwa sasa shangazi dory naambiwa kalala et kachoka
Shauri yako mkuu 🤣🤣🤣

Usikute ana mtoto mwingine amemuacha kwa bibi na hakuambii

Chezea single mama wewe
Screenshot_20250123-154114.png
 
Back
Top Bottom