Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

Pole sana baharia, haya maisha ni kama gwaride, ukisikia nyuma geuka wa kwanza anakuwa wa mwisho.
 
Pole sana kijana mwenzangu,,Hayo ndo maisha yana changamoto nyingi..Kikubwa Mungu akupe uzima na mapambano yaendeleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…