Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

Wengine tuna watoto wa nne, tegemezi watatu halafu hatuna kazi, biashara zimekufa na mke haelewi kama unahali mbaya....... Nimeamini ndo mana wanaume wanakufa mapema
Ndugu yangu hatuwezi kulaumu wanawake kwa ujumla wao, lakini baadhi yao ni kama watoto. Mtoto anahitaji huduma tu hawezi kuelewa kuhusu mabadiliko yako ya kiuchumi au hali yako mbaya ya kila siku.
 
Back
Top Bottom