Anguko langu kiuchumi lilianzia hapa. Wakuu tuinuane

 
Pole sana mkuu ni wengi sana tunakabiliwa na changamoto za namna hiyo,cha muhimu ni kutokata tamaa.
Mkuu kwema. Nimesoma uzi wako. Na mm napitia wakati km wa wakwako. Upo wapi japo tubadilishane uzoefu kuona tunachomokaje mkuu wangu
 
Mkubwa oa kwanza,Ila mbona kama hutaki kutaja umri wako kwa namba unaishia kusema tu umri wako umeenda,umeenda wapi huo umri wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiyoyajua
Nyumba hizi za kupanga baadhi zina mikosi au neema. Unaweza kukaa kwenye mambo yako yakaenda mrama ila ukaondoka ukaenda sehemu nyingine mambo yakanyooka.
Km bado upo hapo, hama kwanza maana hata ukiwezeshwa bado hautafanikiwa.
 
Kosa kubwa ulilolifanya ni kuua vyanzo vingine vya mapato ili uinue chanzo chako cha mapato kilichokuwa kinatetereka.
 
Pole sana, ukiona biashara inashamiri fungua tawi lingine liite B . A ikibomolewa hamishia bidhaa B . Uwe na nidhamu ya hali ya juu kuhusu pesa. Niulize, huyo mwanamke alikuwa anakupa ushauri gani kibiashara? Inaweza ikawa ndio chanzo cha kufilisika. Jua tu kuoa ni mtihani mkubwa sana, maombi ya hali ya juu yanatakiwa wakati wa kuoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…