Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Wengine tatizo mkataba mbovu, wengine transhipment, wengine waarabu, wengine Bandari usalama, sababu kibao halafu zote za upuuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaacha kujadili hoja yake unaongea story ambazo haziko mezani.Tujadili hoja iliyoko mezani ambayo ni mkataba wa DP worldHuyu Profesa...Milioni 10 pesa ya mboga.
Prof. Tibaijuka
alipokuwa madarakani alitaka kuuza sehemu ya Kigamboni kwa mwekezaji,kwa ajili ya Mradi wa Kigamboni New City project.
Magufuli aliufuta.Mradi.
Uko sahihi na ana exposure kubwa kuliko bi mdashi wa mjengoni.Anna anasema ukweli,na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia.Anna ni smart sana kuliko Samia.
It doesn't matter where and what DP World is entrusted with, the most important question here is what agreement is DP World entrusted with?DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye bandiko moja tuu ya Dar es Salaam,
P
Kwa kuwa ni mgalatia mwenzako?Anna anasema ukweli,na hana sababu ya kujipendekeza kwa Samia.Anna ni smart sana kuliko Samia.
Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
Sasa unadhani kwa nini ana anaongopa?DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye bandiko moja tuu ya Dar es Salaam,
P
Kwa kuwa ni mgalatia mwenzako?
Haitarajiwi kwa kafiri yeyote kukubali faida hii
Ila yule aliye muadilifu
Huyu mama asipologwa sijui !Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
"Utarekebishwa" vipi wakati Bunge limekwisha ridhia?Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga
Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi
Mlale unono!
Ngoja tuone!"Utarekebishwa" vipi wakati Bunge limekwisha ridhia?
Ni nani atarekebisha?
Ukirekebishwa utapelekwa tena Bungeni?
Unapotosha.DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye bandiko moja tuu ya Dar es Salaam,
P
Labda Pascal Mayalla ana copy tofauti!Unapotosha, Article 2 ya ule mkataba, pale kwenye Objectives of the Agreement panatamka wazi kabisa, Waarabu watakabidhiwa ports zote za maziwa na bahari waziendeshe Tanzania nzima.
Kwa hIyo kaka mkubwa Yale makubaliano IGA ni fake ?DPW hatakabidhiwa Bandari zote, wala Bandari yoyote, watakabidhiwa tuu zile Beth za makontena zilizokuwa chini ya Ticks kwenye bandiko moja tuu ya Dar es Salaam,
P