T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Na Prof. Assad hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalira?Allegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalira kuwekwa jela.
Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
Si KweliKumbe Ndugai ndiye alifanikisha Tundu Lisu kupelekwa Nairobi? 🐼
Lisu alipigania raslimali za nchi hii kabla ya kuwa Rais. Magufuli alisubiri awe rais ndio ajifanye mzalendo. Yaani uzalendo kwake ulikuwa unaletwa na cheo cha urais. Baada ya kuwa rais akawa anataka ionekane yeye ndio mtanzania pekee anayepigania raslimali za nchi hii!LISSU ALIKENGEUKA NA CHADEMA WAKAANZA KUWATETEA KIMA ROSTAM AZIZI NA SINGASINGA NA MAPONJORI NA WEZI MABEBERU YA MADIN9 HADI MSEMO MAARUFU W 👉TUTASHITAKIW MIGA UKAIBUKQ ZOTE HIZO ZILIKUW JUHUDI ZA LISSU KUWAPIGANIA MAFISADI ...HIVYO YANAYO MKUTA LISU LEO NI LAANA YA KUKUFURU UZALENDO WA JPM KWA WATANZANIA....KUHUSU KOFO CHA NDUGAI KUSHANGILIWA WALIOSHANGILIA NI MAADUI WA WANANCHI NA UZALENDO...HAKUNA MZALENDO WA KUSHANGILIA KIFO JA NDUGAI HAYO YALIYO TOKEWA NI MIOANGO ILIYO SUKWA ILI KUONYESHA WAZALENDO AWAKUBALIWI NA WATANZANIA JAMBO AMBALO SIYO KWELI HATA KWA ASILIMIA 4%
Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Hahahaaa nchi ya maelekezo,😁Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
Naam, kuna watu wanapuuza hilo kwa sababu upande wao haupatwi na misukosuko ila kadri hali inavyoendelea ndo kila mtu atafikiwaTunaposema madaraka ya rais yapunguzwe hiyo ndio maana yetu.
💯Bunge la letu ni kibogoyo, linaishi kwa maelekezo. Hata pale kisutu yaleyale tu.
Kwanini haya yanasemwa mtu akishafariki? Kama kweli mna mioyo ya UZALENDO kwanini msifanye kama au KUWAJIBIKA kama Polepole alivyofanya? Mkiongea hivyo mnavyoongea wakati mtu ameshakata pumzi na hana nafasi ya kujitetea inakuwa ni "story to tell" tu.Spika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Kama ni kweli,Ukikubali kutumika na shetwain,wewe ni shetani pia
Nani atampa hiyo nafasi.Ingependeza kama Prof angeyasema hayo kwenye msiba wa Shujaa siyo sasa 🐼
hapo hapo twita angetumiaNani atampa hiyo nafasi.
Misiba siku hizi ni majukwaa ya fisadi Kikwete kurusha vijembe
Utakuwa kijana mdogo kwenye kuelewa dola ni nini na ina uwezo gani juu ya maisha ya yeyote.Unapewa mamelekezo ya kijinga na yenye chuki namna hii na wewe unayakubali? Nadhani hapa badala ya kumsafisha Ndugai amezidi kuonyesha kuwa alikuwa hafai hata kidogo.
Huyu mama anajisahauSpika Ndugai. Tunaokufahamu tunakulilia kwa WEMA WAKO. RIP. Familia. Poleni. Suala la Lissu kufukuzwa Bungeni liliniuma sana. Jioni nikamfuata Spika Ndugai nyumbani kwake Kisasa kumuuliza kulikoni? Mwenzetu wote tunajua yaliyompata?. Utasemaje hujui alipo?Spika akanieleza kwa utulivu yafuatayo ambayo IN HIS TRIBUTE (kama heshima kwake) ninayaweka wazi.
Labda yatasaidia kumuelewa kwa waliokerwa na kauli zake za mizaha (dry humor). Ndugai aliniambia "Mama ni Maelekezo. MimI nilichofanya kama Spika ni kujaribu kuokoa maisha yake kwa kumkimbiza Nairobi kutibiwa. Wengine walitaka apelekwe Muhimbili. Hatukuwa na bajeti. CHADEMA hawakuwa na fedha kulipia ndege.
Nikamuomba Mbunge wa CCM mhe Turku (RIP) alipie tutamrefund". Akaendelea "Mama Lissu ni mwanasiasa. Akipona atarejea kupambana kadri Mungu atakavyomjalia. Kwa sasa ninakuwa na tahadhari kusurvive katika siasa ngumu za maelekezo huku naongoza muhimili" .
Sikuwa na la kusema zaidi. Nikajua tuna safari ndefu kama taifa. Jamii haitaki kuangalia misingi ya matatizo yetu kimfumo. Tunabaki kulaumu viongozi (personalities) kana kwamba wana freedom kutekeleza majukumu yao. Mfano Utakuta mbunge analaumiwa kwa kutojenga shule, hospitali, barabara. Kwani hiyo si kazi ya Serikali kuu na Halmashauri wanaotoza kodi?
Tusimlaumu Ndugai kwa mambo yaliyokuwa ya mfumo. Alipokosea Mungu amsamehe lakini kuna mazuri Mengi alifanya. Apumzike kwa amani.
View attachment 3435096
Na hawezi kumsamehe samia kwa karamagi na ticts yake kutopewa mkataba bandarini,wanasiasa wa kiafrika uangalia matumbo yao tu,mirija ikikatwa ndio wanajifanya wateteziAllegedly, Tibaijuka hawezi msamehe Magufuli sababu za Rugemalira kuwekwa jela.
Anaweza mtungia uongo wowote bila ya ushahidi wa kuthibitisha.
Sisiem wanajitetea hakuna wa kumwamini,kwenye kampeni Ndugai alisema ndie alimfukuza Lisu.Wale walioteswa Kongwa baada ya kukosoa shule hazina vyoo nayo ni maagizo toka juu!!?Ugomvi aliokuwa nao na diwani wake ni maagizo toka juu!!?Huyu alikuwa mtu wa visasi na ubabe,dharau haswa ukiwa kinyume naye.Mimi nimekaa Kongwa balaa la huyu baba marehemu sio la kitoto.Prof. Assad Aliwezaje kukiuka maagizo kutoka juu?? Uadilifu wake ulikuwa wapi akipokea maelekezo ya kutamka maneno ya kinyama dhidi ya TAL?? angekaa pembeni angekumbukwa kama shujaa. Anyway apumzike atakapo pokelewa. Sote njia yetu ni moja. Tujifunze kuthamini uhai/utu wa mtu mwingine
HAyo maelezo kayaansika Twitterhapo hapo twita angetumia
Utakuwa ni mshamba usiye na exposure unayedhani dola ina haki ya kumfanya raia chochote bila kosa.Utakuwa kijana mdogo kwenye kuelewa dola ni nini na ina uwezo gani juu ya maisha ya yeyote.
Ukweli usemwe watu waache ukatili.Acheni kuleta propaganda Ndugai alikuwa mbaya kuliko hata Magufuri.