nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Kanoe miguu kenge unashinda humu ukitegemea uwe bilionea?Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Watu wanainvest sana Mamy K...Kweli kabisa. Na mtu aliyeinvest akipata mafanikio bado tutataka kushindana nae, mwisho tunajaa madeni yasiyolipika.
You speak as if you don't feel the Pain ndugu Arovera.
Hujui kama wasipokemewa Viongozi wakubwa na Maprof na Wanataaluma wanaokwamisha Elimu yetu kwa kuwa busy na ACTIVITIES ambazo ni fursa za wale wasio na shughuli za uzalishaji tutafika?
Lazima tuishi kwa kuachiana.
Hata nyumbani Baba na Mama walipowakuta watoto na Chakula kidogo au kichache hawakukaa mezani nao kula.
Yaani unaona ni sawa Mama Makinda kuwa na Mashamba au Mwigulu kuwa na Mabasi?
Do you know the Corruption Red Flags?
Tanzania ukiwa Kiongozi halafu ukistaafu Kiustaarabu bila Kuiba na Kuishi Maisha ya Kikawaida na Kimasikini Wananchi Sisi Sisi Wanafiki tunaanza Kukucheka na Kukudharau.Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Hebu tutajie Mfanyabiashara mwanasiasa asiye na makandokando Huyo Mama Makinda nina wasiwasiDunia ilishaachana na mfumo wa ujamaa, na Tanzania haifuati tena Azimio la Arusha, everything is business bro, Rais wa Zambia ni mzalishaji na mfugaji mkubwa wa maziwa na nyama na anauza, zambia, Botswana hadi angola huko, ulitaka amuachie nani yaani biashara hata kazi unayofanya wewe kama umeajiriwa ni biashara, trump ni multi dollar billionea kwahiyo ulitaka aendelee kua mfanyakazi wa tyson milele acha hizo people are hustling day and night wakionesha matokeo kidogo mnapiga kelele, hasa kitu tunachopinga ni only corrupt leaders lakini wapambanaji hapana tuwape pongezi zao leo huwezi kusema hichelema awaachie na blah blah wakati kahuslte kufika kwenye peak hiyo
Kiongozi anastaafu vipi akiwa Maskini wakati Fao lake ni kubwa zaidi ya lile la Mwalimu?Tanzania ukiwa Kiongozi halafu ukistaafu Kiustaarabu bila Kuiba na Kuishi Maisha ya Kikawaida na Kimasikini Wananchi Sisi Sisi Wanafiki tunaanza Kukucheka na Kukudharau.
Safi sana Mama Makinda endelea tu Kuwekeza na tuache Sisi Watanzania Wanafiki na wenye Roho za Wivu na za Kichawi tuendelee zetu Kuzoza ( Kupiga Kelele ) huku Mtandaoni / Mitandaoni.
Kudadadeki.....!!!!!
Hebu tutajie Mfanyabiashara mwanasiasa asiye na makandokando Huyo Mama Makinda nina wasiwasi
Kwa sababu inaonekana haujafahamu wenzetu wanafanya Biashara na Mashirika na watu binafsi wanaokuja angalau kuwekeza kwa kushea na wazawa.
Hawa wawekezaji wa hivi wapo wengi mno wakati mwingine ni serikali za nje wakija majina yanayoandaliwa si langu wala la kwako isipokuwa labda kama wewe una nasaba nao hawa watanzania wenzetu au utakubali kuwakatia Cha juu
Ok sawaHamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Haya yote ni kwa sababu kasema atakuwa wa mwisho kuamini kuwa Mbowe ni gaidi?Hamjambo ndugu zangu?
Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml.
Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL
Huyu alikuwa mtumishi wetu pesa kaipata wapii?
Ni kweli ufisadi umeisha Tanzania?
Nitawasilisha.
Kiongozi anastaafu vipi akiwa Maskini wakati Fao lake ni kubwa zaidi ya lile la Mwalimu?
Au unataka kusema Mzee Nyerere kastaafu akiwa Maskini? Wewe Mightier ulitaka Mwalimu astaafu akiwa na Maghorofa?
Angalia sana unachokiangalia in a Positive way Mkuu Arovera90% ya vitu vyote duniani ukiviangalia in a positive way nakuhakikishia utafanikiwa kwenye issue nyingi sana, na ukijipa asilimia 90% uangalie vitu in negative way mkuu unakua umepotea unafahamu watu walianza kununua treasury bonds kitambo, watu wana hisa kwenye makampuni na mashirika mbalimbali kitambo, watu wana mashamba kitambo, kuna viongozi nawafahamu gawio lao kwa mwaka maeneo mbali mbali ni kubwa kuliko kawaida na ukumbuke kwa mfano mama makinda keshastaafu kitambo hivo nafanya hayo kutokana na kujiwekeza zamani sio ajabu.
Akili yako ni kama za waafrika walio wengi- kutokana na maisha walioishi kijijiji wakiwa wadogo .Wanathamini kula zaidi ya Chochote.Mimi nimezaliwa na kukulia kwenye familia ambayo mbali na kusaza chakula, tulikuwa tunalisha na yatima.pole kama kuwa miongoni mwa waliozaliwa na kukulia kwenye mazingira ya njaa njaaa kizazi kinacho iba na kudhurumu utajiri wa nchi kipatapo madaraka.Wewe ni wale wanawaza Kula ndo kila kitu na wapo tayari dhurumu wengine kisa njaa zaoMkuu Aisee ndo wewe Frenki kila siku mida ya msosi unavizia kuja homu kula na kuangalia kideo?
Umeenda nje na kutetea ambacho hakipo.Asili ya watanzania wengi ni unafiki, yaani mtanzania anakuchekea usoni kumbe moyoni anawaza kukuua, ingekua tunaona mama makinda anadhalilika mtaani, hana lolote hiyo ndio ingekua furaha ya wabongo na picha tungesambaza kwa nguvu zote lakini hizi habari nzuri za kujenga hadi ukumbi ambao kimsingi ataajiri watanzania wenzake kwa walio wengi ni mbaya sana
Kweli mzee wa Msoga mke Mbunge,mtoto Mbunge lol.Ungekuwa unatumia angalau robo ya akili zako usingegusia habari za wabunge.
Maana ndani ya ccm kuna watu wameingia na familia zao kuanzia watoto,mama na wajukuu.
Kumbe ni wewe Frenki. Yani ulikuwa na machale ya msosi homu kwetu. Cha kukera zaidi ulikuwa unapiga zote tatu breakfast, lunch na supper. Nilichokusifia yani menu tu ikiwekwa mezani huyooo. Nakuzugazuga kwa kuchekacheka, kukenuanuakenua mimeno na vijisifa vya kijingajinga.Akili yako ni kama za waafrika walio wengi- kutokana na maisha walioishi kijijiji wakiwa wadogo .Wanathamini kula zaidi ya Chochote.Mimi nimezaliwa na kukulia kwenye familia ambayo mbali na kusaza chakula, tulikuwa tunalisha na yatima.pole kama kuwa miongoni mwa waliozaliwa na kukulia kwenye mazingira ya njaa njaaa kizazi kinacho iba na kudhurumu utajiri wa nchi kipatapo madaraka.Wewe ni wale wanawaza Kula ndo kila kitu na wapo tayari dhurumu wengine kisa njaa zao
Mnao ushahidiLaana ni kitu kibaya sana,na ukiwa Rais ni lazima upate Trilioni? Kwa akli hizi ni halali kabisa Africa kuwa maskini
Tafuta pesa achana na hizi mambo maana kuna watu wenye kazi zao sisi hayatuhusuHamjambo ndugu zangu?