Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

sikujui unijui dont joke with me pls.siku hizi ni mchimba chumvu wa mama ako
 
Uzi bila picha ni ubatili
 
Hiyo nyumba amewanunulia wajukuu, Anna umri umeshaenda!
Umeniwahi mkuu, halafu utakuta kwa huu umri hata kupanda ngazi za kwenda ghorofani wengi hushindwa, ndio maana mimi naona ni upotevu tu wa pesa kujenga mihekalu yenye ghorofa na kusahau kuwa ukianza kuzeeka utakosa uwezo wa kupanda ghorofani pia kwa huo umri mnajikuta kwenye mjengo mumebaki wawili tu kwani hata watoto mlio wazaa tayari wamekuwa watu wazima na wanaishi kwenye makazi yao, wenginehata yale ma Vx wanashindwa kuyapanda hadi wawekewe kigoda. Tamaa zingine hata maana hazina. Mwalimu Nyerere aliwahi kusema yeye hahitaji jumba kubwa kwani yeye tembo!
 
Advance ya hela ya sensa hiyo. Tulia
 
Nimeandika nikafuta, nikandika tena nikafuta.
Any way, hongera Mama Anne
 
Braza SENSA INANZA SOON SO USIUMIZE KICHWA
 
Nyie ndo mapopoma wakubwa. Mnafikiri umasikini ndo sifa kuu ya uongozi manyau nyie. Hebu fikiria kama aliwekeza mizinga ya nyuki 300 katika kipindi cha miaka mitano. Anavuna asali za bei gani kwa mwaka? Na fikiria kama ana ekari 1000 za mkonge. Anaingiza kiasi gani kwa mwaka? Kwani fursa mbona nyingi sana nyie panya?
 
Kwa taarifa yako mama Makinda hiyo fedha anaweza akawa nayo. Kwanza kafanya kazi tangu wakati wa Nyerere, miaka ya 60. Alikuwa mtumishi wa umma, mwalimu mkuu sekondari, waziri (awamu mbili), mbunge, na spika (awamu mbili). Unalijuwa dau la wabunge wapokealo kila miaka mitano na yeye amekuwa akipokea hilo tangu wakati wa Nyerere. Unalijuwa dau la waziri ikiisha miakla mitano. Unalijuwa dau la spika akimaliza miaka mitano! Ongeza hapo dau la kustaafu mtumishio wa serkali. Au umesahau aliiiongoza UWT... hiyo vyote asiwe na pesa au MNASUMBULIWA NA WIVU..mbona nimesahau biashara zake...KWELI CHADEMA TUNA WIVU. MBONA MBOWE HAMUMUULIZI AMEPATA WAPI PESA BAADA YA BIASHARA ZAKE KUFIrISIKA...au Makinda tu ndiyo mmemuona!
 
Huyo bibi ni mbunge tangu 1975,hana mume ,ana mtoto mmoja wa kujipa,bahili ,saloon haendi ni mawigi yake mawili,so inawezekana kuwa na mabilioni bank,nimeishi nae kijitonyama mabatini namuelewa
 
Umeharibu kuingiza chadema na mbowe,kwingine kote umeongea point kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…