OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Yeye kazeekea kwenye ajira. Kastaafu kapewa ajira, kwa nini asingeenda kufuga bata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakoma mpk ya uvunguni yatatoka, nyumba yako ya vioo ya nini ugomvi wa mawe uwwuuiiiu.Mwanao Moris Makinda, ambaye Hata baba yake hajulikani aliko alijitafutia ajira mwenyewe?
Moris haja ajiliwa Serikalini. Moris anapiga mishezake,anapambana kama wapambanaji wengine.Mwanao Moris Makinda, ambaye Hata baba yake hajulikani aliko alijitafutia ajira mwenyewe?
Kipindi kile akiwa Spika alipata kusema kwamba Wananchi wawaonee huruma wabunge maana wanaishi maisha magumu sana !! Nikajiuliza huyu mama anajua kweli maisha ya watu wa hali ya chini ambao ndio wengi Nchini ??!! Nikaishia kumshangaa tu !!Huyu mama amekuwa kwenye ajira tangu apate akili hadi leo, mbona hakutoka ili akajiajiri?
Ni kumsamehe tu mama yetuKipindi kile akiwa Spika alipata kusema kwamba Wananchi wawaonee huruma wabunge maana wanaishi maisha magumu sana !! Nikajiuliza huyu mama anajua kweli maisha ya watu wa hali ya chini ambao ndio wengi Nchini ??!! Nikaishia kumshangaa tu !!
Wangetuwekea tu miundo mbinu ya umwagiliaji katika kilimo ilikuwa inatosha kabisa badala ya mavieite na maanasa mengine ambayo hayana faida yeyote hata kwa hao wanaoyatumia !! Ukraine iko vitani Nchi zote Afrika zinapata shida ya chakula hasa ngano !! Ukraine ina watu milioni 46 tu sisi tupo zaidi ya milioni 66!!Moris haja ajiliwa Serikalini. Moris anapiga mishezake,anapambana kama wapambanaji wengine.
Tukumbuke watumishi woote wa Serikali hawazidi laki 5-6 na Kuna mamilioni ya Watanzania hawana kazi, Kazi kubwa ya Serikali zote duniani ni kutoa huduma Kwa jamii.
Hakuna Serikali Duniani iwe uku Afrika au Nchi tajiri yenye uwezo wa kuajiri Robo ya Raia wake Selikalini.
Kazi ya Serikali ni kutengenezeza mazingira rafiki Ili Sekta binafsi zi nawiri na wananchi wapate fursa za Ajira.
Sekta binafsi zinaendeshwa na watu binafsi wapambanaji wenye uthubutu wa kutumia fursa zinazo wazunguka.
Kweli kabisa tumsamehe bure !! Umri nao ni matatizo !!Ni kumsamehe tu mama yetu
Unajua hawa wazee hawajui tu maisha ni mitihani kwenda mbele
Kilimo cha umwagiliaji ndio mpango mzima !!Hata ukipewa mtaji kwa hali ya kibiashara ya Bongo tabu tupu. Labda ufanye biashara isiyo rasmi ukijidanganya kurasimisha tu unakutana na rungu la TRA na nduguze.
Hakuna haja basi ya kusoma kada zingine sindo hivyo? Kila mtu akalime this is too muchSerikali haitengenezi Ajira isipokuwa inaweka Sera nzuri ambazo zitachochea Uwekezaji ambako huko kunaweza kupatikana Ajira nyingi za Kutosha.
Hata hivyo kwa wale Vijana ambao huwa wanapata Fursa za Ajira ( Kazi ) wawe wanajitahidi sana 'Kusevu' Pesa wazipatazo ili hata kama baadae wakikosa Kazi ( Ajira ) basi hizo Pesa walizonazo waweze kuzitumia kama Mtaji wa Kujiajiri.
Na kwa Vijana ambao hawana Ajira ( Kazi ) ambao ni Kundi Kubwa wajifunze kufanya Kazi za Kujitokea ( Volunteering ) katika Taasisi mbalimbali ili kujifunza na hata kupata Uzoefu ili iwarahisishie kuboresha Ufanisi wao na hata kupata Ajira kiurahisi.
Mitaala ya Elimu yetu Tanzania ibadilishwe na Elimu ya Tanzania sasa iwe ni ya Vocational and Research Based na siyo hii ya Kikoloni tuliyonayo ambayo inatengeneza Kundi Kubwa la Wasubiri Ajira za Kuajiriwa na siyo Watengeneza Ajira ( wa Kujiajiri Wenyewe )
Mwisho kwakuwa Tanzania kwa 85% ni Nchi ya Kilimo na bado naambiwa 75% ya Ardhi ya Tanzania ipo tu haitumiki Serikali ijikite hasa katika Kuboresha Sekta ya Kilimo, Kufundisha Vijana Ujasiriamali wa Kilimo na kuifanya Sekta hii kuwa Rafiki na Rahisi ili Kuvutia Vijana wengi na wakianza Kilimo ( Kulima ) itawapatia Kipato kikubwa na kusahau Kusubiri Kazi ( Ajira ) za Serikalini.
Moris makinda alikuwa zero akiwa private school moja huko arusha na alimaliza Form four 1987 .Moris haja ajiliwa Serikalini. Moris anapiga mishezake,anapambana kama wapambanaji wengine.
Tukumbuke watumishi woote wa Serikali hawazidi laki 5-6 na Kuna mamilioni ya Watanzania hawana kazi, Kazi kubwa ya Serikali zote duniani ni kutoa huduma Kwa jamii.
Hakuna Serikali Duniani iwe uku Afrika au Nchi tajiri yenye uwezo wa kuajiri Robo ya Raia wake Selikalini.
Kazi ya Serikali ni kutengenezeza mazingira rafiki Ili Sekta binafsi zi nawiri na wananchi wapate fursa za Ajira.
Sekta binafsi zinaendeshwa na watu binafsi wapambanaji wenye uthubutu wa kutumia fursa zinazo wazunguka.
Yeye mwenyewe kashindwa kujiajiri toka enzi hizo anakula kodi zetu tu, na mpaka sasa anakula za sensa. Kila siku tunamsikia kutoa matamko yanayohusiana na sensa yake. Sensa ilishapita achukue chake apige kimya ale pensheni za uspika.Kamisaa wa Sensa Kitaifa, Anna Makinda amewataka vijana wasomi kujitengenezea uchumi wao binafsi kupitia fursa zilizoko kwenye maeneo wanayoishi kuliko kutegemea ajira kutoka Serikalini au sekta binafsi.
Akizungumza leo Oktoba 12 na Kamati ya sensa katika kikao cha kutathimini sensa kwa Mkoa wa Arusha, Makinda ambaye pia ni Spika mstaafu, amesema kuwa takwimu hizo ni muhimu kwa nchi kwenda kutengeneza mfumo mzima katika hatua zake za kusaidia jamii hasa kiuchumi.
“Lipo jambo kubwa nililoliona nalo ni kundi kubwa la vijana ambao hawana ajira wala hawajishughulishi na kazi yoyote ya kujiingizia kipato na ukimuuliza anasema amehitimu elimu fulani anasubiri ajira, jamani hili la kuajiriwa mtachelewa sana,” amesema Makinda
Amesema kuwa tatizo la ajira linalotupiwa serikali linaweza kutatulika na muhusika mwenyewe kwa kutazama changamoto zilizoko hata katika jamii na kuliwekea ubunifu mzuri na kuwa fursa ya ajira au kujipatia kipato kuliko kusubiri kuajiriwa.
“Mfano mzuri serikali kwa sasa inetengeneza fursa nzuri kwenye sekta ya kilimo na uzuri nchi yetu ina maeneo mengi wazi, lakini utakuta kijana msomi anasema anasubiri kuajiriwa badala atumie fursa kutengeneza ajira, nawaambia hao sio wasomi wazuri ambao Taifa linaweza kuwategemea,” amesema.
Kwa upande wake mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongela amesema kuwa jumla ya kaya 2,724 zilihesabiwa katika vitongoji 1,506 na kazi ilifanikiwa kwa asilimia 99.99.
“Kwenye kazi hii serikali ilitupatia kiasi cha Sh5.9 bilioni na tumefanikisha kazi hiyo na vifaa vyote tulivyokabidhiwa tumerudisha kasoro vishwambi vitano ambavyo vilipotea, lakini jeshi la polisi vinaendelea na kazi ya kuvipeleleza vipatikane,” amesema.
Sio kushindwa kujiajiri tu hata kuolewa yalimshinda.Yeye mwenyewe Kashindwa kujiajiri toka enzi hizo anakula kodi zetu tu, na mpaka sasa anakula za sensa. Kila siku tunamsikia kutoa matamko. Sensa ilishapita achukue chake apige kimya ale pensheni za uspika.
Umenena vema kabisa!Bongo ukitaka kutoboa kama huna pesa ya kujitosheleza anza kufanya biashara isiyo rasmi. Ukijiingiza tu kwenye system huku biashara haijasimama ni kujikaanga.
Ohooo......kumbe na huko alichemka.Sio kushindwa kujiajiri tu hata kuolewa yalimshinda.
Mwenye kumfahamu mume wake kwa jina aje inbox achukue 1m faster.Ohooo......kumbe na huko alichemka.
Hivi anamtoto kumbeMwanao Moris Makinda, ambaye Hata baba yake hajulikani aliko alijitafutia ajira mwenyewe?
Jibu hoja kwa hojaMwanao Moris Makinda, ambaye Hata baba yake hajulikani aliko alijitafutia ajira mwenyewe?
Tanzania jitahidi sana kama unaanza biashara usirashimisheHata ukipewa mtaji kwa hali ya kibiashara ya Bongo tabu tupu. Labda ufanye biashara isiyo rasmi ukijidanganya kurasimisha tu unakutana na rungu la TRA na nduguze.