Anne Makinda awataka vijana kujitafutia ajira

Haya mambo ya tafuteni ajira yasemwe na walijitafutia ajira wenyewe kwa kueleza na namna ya kujiajiri!
Hawa wanasiasa ni ngonjera tu na kuchefua wengine!
 
Mwanao Moris Makinda, ambaye Hata baba yake hajulikani aliko alijitafutia ajira mwenyewe?
Moris haja ajiliwa Serikalini. Moris anapiga mishezake,anapambana kama wapambanaji wengine.

Tukumbuke watumishi woote wa Serikali hawazidi laki 5-6 na Kuna mamilioni ya Watanzania hawana kazi, Kazi kubwa ya Serikali zote duniani ni kutoa huduma Kwa jamii.

Hakuna Serikali Duniani iwe uku Afrika au Nchi tajiri yenye uwezo wa kuajiri Robo ya Raia wake Selikalini.

Kazi ya Serikali ni kutengenezeza mazingira rafiki Ili Sekta binafsi zi nawiri na wananchi wapate fursa za Ajira.

Sekta binafsi zinaendeshwa na watu binafsi wapambanaji wenye uthubutu wa kutumia fursa zinazo wazunguka.
 
Huyu mama amekuwa kwenye ajira tangu apate akili hadi leo, mbona hakutoka ili akajiajiri?
Kipindi kile akiwa Spika alipata kusema kwamba Wananchi wawaonee huruma wabunge maana wanaishi maisha magumu sana !! Nikajiuliza huyu mama anajua kweli maisha ya watu wa hali ya chini ambao ndio wengi Nchini ??!! Nikaishia kumshangaa tu !!
 
Kipindi kile akiwa Spika alipata kusema kwamba Wananchi wawaonee huruma wabunge maana wanaishi maisha magumu sana !! Nikajiuliza huyu mama anajua kweli maisha ya watu wa hali ya chini ambao ndio wengi Nchini ??!! Nikaishia kumshangaa tu !!
Ni kumsamehe tu mama yetu
Unajua hawa wazee hawajui tu maisha ni mitihani kwenda mbele
 
Wangetuwekea tu miundo mbinu ya umwagiliaji katika kilimo ilikuwa inatosha kabisa badala ya mavieite na maanasa mengine ambayo hayana faida yeyote hata kwa hao wanaoyatumia !! Ukraine iko vitani Nchi zote Afrika zinapata shida ya chakula hasa ngano !! Ukraine ina watu milioni 46 tu sisi tupo zaidi ya milioni 66!!
 
Hakuna haja basi ya kusoma kada zingine sindo hivyo? Kila mtu akalime this is too much
 
Moris makinda alikuwa zero akiwa private school moja huko arusha na alimaliza Form four 1987 .
Baada ya hapo alipelekwa ulaya na hana na hawezi kufanya chochote iwe biashara ila ameajiriwa eneo nyeti hapa nchini
 
Yeye mwenyewe kashindwa kujiajiri toka enzi hizo anakula kodi zetu tu, na mpaka sasa anakula za sensa. Kila siku tunamsikia kutoa matamko yanayohusiana na sensa yake. Sensa ilishapita achukue chake apige kimya ale pensheni za uspika.
 
Yeye mwenyewe Kashindwa kujiajiri toka enzi hizo anakula kodi zetu tu, na mpaka sasa anakula za sensa. Kila siku tunamsikia kutoa matamko. Sensa ilishapita achukue chake apige kimya ale pensheni za uspika.
Sio kushindwa kujiajiri tu hata kuolewa yalimshinda.
 
Bongo ukitaka kutoboa kama huna pesa ya kujitosheleza anza kufanya biashara isiyo rasmi. Ukijiingiza tu kwenye system huku biashara haijasimama ni kujikaanga.
Umenena vema kabisa!
 
Nakumbuka nilienda kumpa mkopo mwanae wa kike na kiume wakati wako mikocheni Dsm nikakuta mwanae anamtia vidore Binti mmoja pale kwenye swimming pool saa tatu'' za asubuh uku Kwa pemben wamewasha Tiv na kuweka TBC1 wanaangalia Bingena mama yake ndo alikuwa anaendesha kikao walai kuanzia siku hiyo nilikacha kuniangalia TBC aise Leo mama anasema ujinga huo kabisa
 
Hata ukipewa mtaji kwa hali ya kibiashara ya Bongo tabu tupu. Labda ufanye biashara isiyo rasmi ukijidanganya kurasimisha tu unakutana na rungu la TRA na nduguze.
Tanzania jitahidi sana kama unaanza biashara usirashimishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…