TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Jiwe asingesogezwa alikua anakwenda kukamilisha utatu mtakatifu pale EAC
 
Wewe ni mjinga
Nyerere NAE angesema hivyo asingekuwa mwanaharakati WA kupigania uhuru Licha ya Elimu yake nzuri kipindi hicho,wewe ni mbinafsi mno
 
Scorpio ♏️ 🦂 Wana kisasi sana aisee! Fuatilia aina ya watawala walio katika kundi nyota hili utaelewa, Ingawa pia Maturity Soul zina wema mwingi mno, anyaway nature iko hivyo ili maisha yapate balance lakini yote katika yote kila mmoja atalipa Karma yake kwa wakati wake.
 
Watanzania mnajifanya kumhurumia huyo bimdada kana kwamba ni mambo mageni Bongo.

Mara hii mumesahau ilivyokuwa miaka 3 Iliyopita? Acheni unafiki.
 
Wanyarwanda wanajua kabisa huyo mtu wao hapingwi, bado wanajitokeza waziwazi kumpinga mfalme wao wa kudumu. Wasubiri afe ndio waanzishe harakati zao la sivyo watamalizwa
Akifa yeye anarithisha Watoto tayari mmjawapo.ndio.kiongozi wa kikosi Cha kimlinda Rais.

Hako.Kanchi ni Mali binafsi ya familia ya Kagame kama Kina Kim wanavyomiliki.N.Korea.
 
Magufuli angetufikisha hapa
Ange au alishawafikisha? Pona pona ya nyie Wapinzani ni kwamba bwana yule alikuwa ba betri vinginevyo mungesaga meno.

Sio tuu Wapinzani hata wengine wote ambao wangejaribu kupinga chochote ndio maana alianza kupora watu pesa,kubanbikia Kodi ,kupekua account za watu na upuuzi mwingine kama huo.

Leo hii mnamtukana Samia wakati mlikimbia familia zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…