TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Poleni sana Stori za RPF na RPA zinatisha sana. Visa vya kina General Fred Rwigyema and co. Zinatisha sana.

Sijui Kwanini Mwenyezi Mungu ameiacha dunia ikawa na machafuko kiasi hiki.
 
Mtawala kwa kunywa Chale alishawaji kusema Mara Nyingine Kuwa mnyaruanda yeyote atakayesaliti nchi watamfuaya sehemu yoyote duniano, na tumeshuhudia majenerali kadhaa waliotoroka na kujificha nchi za Watu wakiuawa mfono jeAfrika kusini na Zambia na Mara zote SERIKALI ilikanusha, sasa jumlisha sentesi hii Mwamba tutamfuata sehemu yoyote duniani MTU msaliti halafu unganisha na matukio, haiitaji Kuwa na elimu ya chuo Kikuyu kujua nini kipo Nyuma ya pazia ni akili ya kuzaliwa tu
 
Lile ni jeshi..ujue ccm peke yake ina uwezo wa kupindua Rwanda bila hata jw kuingilia kati.
Hiki chama kina heshima ya pekee sana hata kwa ccp ya wachina huwa wanalo la kujifunza ndio maana ni allies😂
Wewe jamaa bwana sasa hao wakomunisti wajifunze nini kwa haya matakataka ya Tanzania.

Kiumri tu wanatofautiana, kimafanikio ndio usiseme, kiukubwa wa kivyama mbalimbali, kiukubwa wa nchi na watu wake mbali kabisa, siasa tofauti.
 
Wanyarwanda ndiyo wajinga zaidi kusumbuliwa na mtu mmoja
Huwa najiuliza kivipi mtu mmoja anakua na nguvu, wapi madikteta kama Kagame wanapata nguvu zao?

Nikagundua idadi kubwa ya watu huwa wana focus na familia zao, watu wao wa karibu na mahitaji yao ya kila siku kama maji, dawa na chakula.

Siasa sio kipaumbele kikubwa cha waafrika wengi, kwa maneno mengine wanyarwanda ndio wanaoruhusu Kagame afanye anachojisikia.

Watu wakichafukwa na kuamua, huyo Kagame anaweza fia sehemu ambayo hata panya hatamani afie hapo

Madikteta wanapewa nguvu na watu wasiojali
 
Hahahaha pole sana IJ hasa ukiwa freelancer unakua uko mawindoni , maana nyendo zako ni za wale jamaa warefu wanalinda "urugwiro " pale

Ukiandika uwe unanitag my brother
 
Mkuu anayajua kweli ya Idd Amin Dadah? Babu yangu Mimi mzaa Mama aliondoka na maaskari wake anaitwa kituoni mwaka 1976 hajawahi kurudi hadi leo. Unamaanisha bado anahojiwa?
 
NI kwel. Lakin unadhan watu wana focus na hayo mambo yao kwa kupenda...wanasiasa kaz yao kubwa ni kukutengenezea tatizo ili liku keep busy na ndio hapo mambo wanayotaka yanawezekana...bei za fuel daily zinapanda..bei za vyakula,,nauli ,karo za shule n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…