Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Ukikaa vibaya anakuchinja huyo huku anamshukuru AllahKumbe ni Mtu wa jihad huyu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikaa vibaya anakuchinja huyo huku anamshukuru AllahKumbe ni Mtu wa jihad huyu?
Si bora CCM walau Rais anabadirika baada ya miaka 10, sasa tangu 2000 sura ni ile ile tena anaongoza kwa mkono wa chuma. Waliozaliwa 2000 leo hii wapo Vyuo vikuu hawajui hata kama kuna uwezekano wa Rais akachaguliwa mwingine zaid ya PAKA.Usiwacheke. Sisi hapa ccm inatusumbua tangu 1977. Heri ya Rwanda Kagame kaanza kuwatesa mwaka 2000
Yeah najua hata mzee wao nae hakua mpoleWale familia nzima kuanzia mama mpaka mabinti ni wanaharakati.
Hatari sana,ukimuona lile umbo alivyo mwembamba unadhani ni dhaifu,kumbe ndiye kiumbe katili zaidiIdol wa jiwe
Shukran mkuuPoleni sana Stori za RPF na RPA zinatisha sana. Visa vya kina General Fred Rwigyema and co. Zinatisha sana.
Sijui Kwanini Mwenyezi Mungu ameiacha dunia ikawa na machafuko kiasi hiki.
Sawa braza...nimeweka uzi wa mabraza wa zamani DSM miaka ya 80,s na 90,s ingia uusome...Hahahaha pole sana IJ hasa ukiwa freelancer unakua uko mawindoni , maana nyendo zako ni za wale jamaa warefu wanalinda "urugwiro " pale
Ukiandika uwe unanitag my brother
Mr slimHatari sana,ukimuona lile umbo alivyo mwembamba unadhani ni dhaifu,kumbe ndiye kiumbe katili zaidi
Ni bogus tu hana lolote.Yule jamaa ni noma......halazi damu
Siku akiacha kuwa kibaraka wa Wazungu dhidi ya DRC atapata wapinzani wengi.Wanyarwanda wanajua kabisa huyo mtu wao hapingwi, bado wanajitokeza waziwazi kumpinga mfalme wao wa kudumu. Wasubiri afe ndio waanzishe harakati zao la sivyo watamalizwa
Wawaombe Kikwete na Kinana wawasaidie kama walivyosaidia 17/3/2021Sasa kwanini wanamuacha aendele na kuuwa wanyarwanda.
Sasa kwanini babu yako aende kwenye nchi nyingineMkuu anayajua kweli ya Idd Amin Dadah? Babu yangu Mimi mzaa Mama aliondoka na maaskari wake anaitwa kituoni mwaka 1976 hajawahi kurudi hadi leo. Unamaanisha bado anahojiwa?
Kwahiyo, Kwako wewe hiyo ndio hoja sahihi ya kuthibitisha kupotea kwake?Sasa kwanini babu yako aende kwenye nchi nyingine
Ebu jipe muda utafute taarifa nyingi kumhusu kabla ya kujenga hoja, maana kwa ninavyokuhisi hata suala Entebbe unaweza kusema alisingiziwa!Yapo yaliyotokea ambayo Amin mwenyewe alikiri hakuhusika nayo. Kwenye mahojiano fulani na BBC nadhani mwaka 2003 aliwahi kuulizwa kuhusu watu kuuawa na kupotea. Alijibu kuwa inawezekana baadhi ya matukio kufanywa na askari pasina idhini ya moja kwa moja kutoka kwake.
La muhimu tambua kuwa kulikuwa na upinzani na njama nyingi dhidi ya Amin na katika mazingira ya kujihami kesi kadhaa za ukiukwaji wa haki za binadamu zinaweza kutokea.
Hakuna mtu aliyekamilika kila mmoja ana mapungufu yake lakini Amin hakuwa kama ambavyo watu wanavyomzungumza kwa ubaya.