bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kugombea uraisi Rwanda ni sawa na kuogelea bwawa Moja na mamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana kama unaishi mileleKawaida ukiona mtu analeta hofu unamfinya tu kimtindo maisha yanaenda.
Ili wasitende dhambiWatu wazuri ndio hufa
Utamuuaje Kagame bila wewe kufa pia?😂 Hilo ni fumbo kubwa sana ila pia huenda raia hawana shida nae ila wapinzani ndio wanaipata pata.Wanyarwanda ndiyo wajinga zaidi kusumbuliwa na mtu mmoja
Yule anatumiwa wakala tu anamfuatilia kule kule marekani. Anajenga urafiki nae kisha anamvizia tu na kumtilia sumu ya kuua viungo miezi sita mingi parapanda inakuwa ishalia 😂Na anakufuata popote yani!!
kwa namna yoyote watu kama kina Mange kwa mfumo wa Kagame wasingekuwa hai.
Ndio mnawasingizia ushoga kwa kuwa ni maarufu? Je unajua fedheha ya ushoga wewe?Mbona una wivu sana ? Lile ni jukwaa la watu maarufu kwahiyo lazima wachambuliwe sasa na hata wenyewe wanalijua hilo
Hii tabia ya kutojali ni sababu kuna kundi kubwa la watu ambao wanakula na kushiba kwa starehe zao. Kukiwa na kundi kubwa ambalo linakosa mahitaji muhimu mambo huwa tofauti.Huwa najiuliza kivipi mtu mmoja anakua na nguvu, wapi madikteta kama Kagame wanapata nguvu zao?
Nikagundua idadi kubwa ya watu huwa wana focus na familia zao, watu wao wa karibu na mahitaji yao ya kila siku kama maji, dawa na chakula.
Siasa sio kipaumbele kikubwa cha waafrika wengi, kwa maneno mengine wanyarwanda ndio wanaoruhusu Kagame afanye anachojisikia.
Watu wakichafukwa na kuamua, huyo Kagame anaweza fia sehemu ambayo hata panya hatamani afie hapo
Madikteta wanapewa nguvu na watu wasiojali
Nipatie nakala basi kama unazo huyo mtoto ni balaa zito kwa urembo asiliaKuna kipindi niliwahi ona mipicha picha yake ya bila nguo kwenye makochi na sehemu kadhaa .... nadhani kipindi iko alikuwa anataka wania uongozi fulani na alikuwa tishio sana
Kashaanza kuweka kijana wake karibu akimfundisha mbinu za kibabe na kimedani. Nafikiri nae kashafuzu mafunzo toka Israel kuleBila Felix Tshisekedi kumpindua huyo Kagame ataendelea kuua watu wote wanaotishia mamlaka yake.
Akitoka anapachika Watoto wake.
Lini US walienda kufanya upuuzi kichwa kichwa. Mambo yote ya hovyo huwa wanawatanguliza machawa wao mbele 😂Maslahi ya US huko Congo yanayolindwa na Kagame ni yapi?
Sababu zipi za msingi US wamtumie Kagame badala ya kwenda moja kwa moja DRC?
Kwani ni mimi!?Ina maana kama unaishi milele
Migambo infrontLini US walienda kufanya upuuzi kichwa kichwa. Mambo yote ya hovyo huwa wanawatanguliza machawa wao mbele [emoji23]