TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

Pisi Kali kama hio na kwao ni matajiri unataka uraisi ili ukapate Nini,kipi anakosa range,maghorofa
 
Na anakufuata popote yani!!

kwa namna yoyote watu kama kina Mange kwa mfumo wa Kagame wasingekuwa hai.
Yule anatumiwa wakala tu anamfuatilia kule kule marekani. Anajenga urafiki nae kisha anamvizia tu na kumtilia sumu ya kuua viungo miezi sita mingi parapanda inakuwa ishalia 😂
 
Huwa najiuliza kivipi mtu mmoja anakua na nguvu, wapi madikteta kama Kagame wanapata nguvu zao?

Nikagundua idadi kubwa ya watu huwa wana focus na familia zao, watu wao wa karibu na mahitaji yao ya kila siku kama maji, dawa na chakula.

Siasa sio kipaumbele kikubwa cha waafrika wengi, kwa maneno mengine wanyarwanda ndio wanaoruhusu Kagame afanye anachojisikia.

Watu wakichafukwa na kuamua, huyo Kagame anaweza fia sehemu ambayo hata panya hatamani afie hapo

Madikteta wanapewa nguvu na watu wasiojali
Hii tabia ya kutojali ni sababu kuna kundi kubwa la watu ambao wanakula na kushiba kwa starehe zao. Kukiwa na kundi kubwa ambalo linakosa mahitaji muhimu mambo huwa tofauti.
 
Kuna kipindi niliwahi ona mipicha picha yake ya bila nguo kwenye makochi na sehemu kadhaa .... nadhani kipindi iko alikuwa anataka wania uongozi fulani na alikuwa tishio sana
Nipatie nakala basi kama unazo huyo mtoto ni balaa zito kwa urembo asilia
 
Bila Felix Tshisekedi kumpindua huyo Kagame ataendelea kuua watu wote wanaotishia mamlaka yake.

Akitoka anapachika Watoto wake.
Kashaanza kuweka kijana wake karibu akimfundisha mbinu za kibabe na kimedani. Nafikiri nae kashafuzu mafunzo toka Israel kule
 
Maslahi ya US huko Congo yanayolindwa na Kagame ni yapi?
Sababu zipi za msingi US wamtumie Kagame badala ya kwenda moja kwa moja DRC?
Lini US walienda kufanya upuuzi kichwa kichwa. Mambo yote ya hovyo huwa wanawatanguliza machawa wao mbele 😂
 
... YES, WE WANT TANGIBLE PROOF! ... SOMETHING THAT CAN BE SEEN! ... AND THE STORY GOES!
1703999244921.png
 
Back
Top Bottom