Kaka nimekubali. Sikupingi.Hapana chief tumeanza ku date wote tukiwa na miaka mitano kwenye ndoa. Tumeenda mbali sana mpaka ndugu zake na mama ananifahamu. Kuna shughuli tuna hudhuria kama couples.
Acha mkwara wewe watu wanaruka na mke wa mwenyekiti wa kijiji na fresh tuHahahahah mimi kama mumewe pamoja na genge langu tutajumuika kukupaka mafuta ya kimbo panapo kiboga! Jiandae kisaikolojia kwa Annivesary ya kukata na Sime!
Kaka nimekubali. Sikupingi.
Haumuonei wivu? Yeye hakuonei wivu?
Daahhh hapo umeua bro!! Inaonyesha kwao wanakukubali sana kuliko mumewe..Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Bro siyo kazi ndogo kukwepana hapa mjini for 15 years. Na jamaa ana nguvu bala
Hahaha ebwana si mchezo. Hua unamtumia kutimiza fantasy ambazo mkeo hawezi kukutimizia? Mfano oral sex hivi? Kusex maeneo ya wizi wizi yale au kumnyonya ndogo?Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Chai Hizi... Hivi huwa mnajisikiaje Kutunga Story Humu JF??Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Muulize na mkeo kafikisha mingapi huko nje?
Most likely she is enjoying it more huko outside ndio maana Una Amani na mchepuko wako
Angekua loyal ungeshaacha
Na make akitulia Sana Anza kuangalia na vitoto utaona hata Sura zao hasifananiUkiwa na mchepuko ukamhudumia vizuri ki mapenzi, lazima in a way upunguke kwa mke, ukiona mke yuko poa tu, ujue kuna mtu anaziba hilo pengo lako! Tafakari, chukua hatua, haki elimu!
Mmejaaliwa kupata watoto wangapi ambao wanatunzwa na mwanaume mwenzio?
Certified mcheps lol! Anyway kila mmoja atajibu kivyake siku ya yake! Mimi mwenyewe nna chepuko langu la kimataifa tunapendana mnooo!
Certified mcheps lol! Anyway kila mmoja atajibu kivyake siku ya yake! Mimi mwenyewe nna chepuko langu la kimataifa tunapendana mnooo!
Sasa kwanini msivunje ndoa zenu ili muoaneBro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Uzuri Mungu huwaga anakupa mda wa kuacha au kutubu dhambi fulani, ukiikomalia ukashindwa chomoka, unapigwa tukio huchomoki, ndo imetoka hiyoo[emoji848]Jitahidi uache Kilio chake siyo Cha Kitoto.... Siku ya kulipa ikifika...Mungu akusaudie Sana Ndugu... Chezea Pesa ya Mtu lakini Siyo Maisha ya Mtu.