Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Hapana chief tumeanza ku date wote tukiwa na miaka mitano kwenye ndoa. Tumeenda mbali sana mpaka ndugu zake na mama ananifahamu. Kuna shughuli tuna hudhuria kama couples.
Kaka nimekubali. Sikupingi.

Haumuonei wivu? Yeye hakuonei wivu?
 
Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Daahhh hapo umeua bro!! Inaonyesha kwao wanakukubali sana kuliko mumewe..
 
Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Hahaha ebwana si mchezo. Hua unamtumia kutimiza fantasy ambazo mkeo hawezi kukutimizia? Mfano oral sex hivi? Kusex maeneo ya wizi wizi yale au kumnyonya ndogo?
 
Muulize na mkeo kafikisha mingapi huko nje?

Most likely she is enjoying it more huko outside ndio maana Una Amani na mchepuko wako

Angekua loyal ungeshaacha

Ukiwa na mchepuko ukamhudumia vizuri ki mapenzi, lazima in a way upunguke kwa mke, ukiona mke yuko poa tu, ujue kuna mtu anaziba hilo pengo lako! Tafakari, chukua hatua, haki elimu!
 
Ukiwa na mchepuko ukamhudumia vizuri ki mapenzi, lazima in a way upunguke kwa mke, ukiona mke yuko poa tu, ujue kuna mtu anaziba hilo pengo lako! Tafakari, chukua hatua, haki elimu!
Na make akitulia Sana Anza kuangalia na vitoto utaona hata Sura zao hasifanani

Hasa vile vidogo

Wanawake nawaheshimu Sana... Wanajua kuequalize games
 
Certified mcheps lol! Anyway kila mmoja atajibu kivyake siku ya yake! Mimi mwenyewe nna chepuko langu la kimataifa tunapendana mnooo!
 
Mmejaaliwa kupata watoto wangapi ambao wanatunzwa na mwanaume mwenzio?
 
Certified mcheps lol! Anyway kila mmoja atajibu kivyake siku ya yake! Mimi mwenyewe nna chepuko langu la kimataifa tunapendana mnooo!

Hongera bro, pambana mke wa mtu mtamu sana aisee
 
Mtoa mada
JamiiForums1423093221.jpg
 
Certified mcheps lol! Anyway kila mmoja atajibu kivyake siku ya yake! Mimi mwenyewe nna chepuko langu la kimataifa tunapendana mnooo!

Hongera bro, pambana mke wa mtu mtamu sana aisee
 
Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Sasa kwanini msivunje ndoa zenu ili muoane

Seems mnapendana kufa

Kama chai yako ni kweli the devil [emoji48] is real, anapeenda hayo mambo[emoji23]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Jitahidi uache Kilio chake siyo Cha Kitoto.... Siku ya kulipa ikifika...Mungu akusaudie Sana Ndugu... Chezea Pesa ya Mtu lakini Siyo Maisha ya Mtu.
Uzuri Mungu huwaga anakupa mda wa kuacha au kutubu dhambi fulani, ukiikomalia ukashindwa chomoka, unapigwa tukio huchomoki, ndo imetoka hiyoo[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom