Asante ndugu kibao hichi.....hakika ni burudani na elimu ndani yake.....Dunia Msongamano by Ndala Kasheba
Hakika kaka umesema kweliMtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake........
Mwanadamu anapoachana na matumizi ya fahamu zake anajiweka karibu na mabalaa makubwa pasi na yeye kujua.....Mungu ametupa akili na fikra ili vituongoze kwa faida yetu.......lakini unaporuhusu mahaba yaamue hatima yako jua upo karibu na anguko lako....
DUNIA MSONGAMANO.......
Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya πΉπΉusitushirikishe kwenye dhambi zako
Tunaomba support yenu wadau.
Mkeo nae anatimiza 15 na Mr.B bila wewe kujuaSiku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa.
Tunaomba support yenu wadau.
Support ya uzinzi?Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa.
Tunaomba support yenu wadau.
Lazima itakuwa huyo bwana anajua lakini kuna baadhi huwa hawajali sana au ana matatizo kwenye shughuli.Hapana chief tumeanza ku date wote tukiwa na miaka mitano kwenye ndoa. Tumeenda mbali sana mpaka ndugu zake na mama ananifahamu. Kuna shughuli tuna hudhuria kama couples.
Halafu munalalamika eti South Africa wanataka kupitisha sheria ya mke mmoja waume wengi, sasa hii ya kwako ni nini?Bro wivu yani kama yote. Kwanza hawezi toka na mumewe out bila ya ruhusa yangu. Kuna wakati tunagombana ndugu wanatuweka chini kutupatanisha.
Siku ya jumamosi tarehe 5/6/2021 tutakuwa tunaazimisha miaka 15 ya mahusinano na mchepuko wangu. Kila mmoja ana ndoa yake ila tumebarikiwa kuishi kwa miaka 15 tukiwa kwenye mahusiano bila ya kushtukiwa.
Tunaomba support yenu wadau.
Waatuuuu,Sasa si umuoe tu, kwa nini waficha ficha
Hahahahah mimi kama mumewe pamoja na genge langu tutajumuika kukupaka mafuta ya kimbo panapo kiboga! Jiandae kisaikolojia kwa Annivesary ya kukata na Sime!
Huwezi kuamini lakini tulikuwa na shemegi yetu yaani dizaini hii, alikaa na mke wa mtu amezaa naye mtoto mmoja na mtaani wote pale tulikuwa tunajua. Mkewe pia alikuwa anajua pamoja na mume wa yule mama lakini jamaa alikuwa kimya tu.Chai Hizi... Hivi huwa mnajisikiaje Kutunga Story Humu JF??
Nakushauri ukipata nafasi angalia divorce court, couples court au paternity court utaona madai mengi ni ya aina hii.Lau Kama ningekua sijaoa sijui ingekuaje kwa ipande wangu kuhusu ndoa, maana mada za hapa jf Ni dhahiri bila Shari swala la ndoa halitakua lepesi kwa ambae hajaingia huko kuingia.
Mtu isipomfaa akili yake basi utamdhuru ujinga wake........
Mwanadamu anapoachana na matumizi ya fahamu zake anajiweka karibu na mabalaa makubwa pasi na yeye kujua.....Mungu ametupa akili na fikra ili vituongoze kwa faida yetu.......lakini unaporuhusu mahaba yaamue hatima yako jua upo karibu na anguko lako....
DUNIA MSONGAMANO.......
Ohoo!! mama yake hajui kama mwanae kaolewa??Tumeenda mbali sana mpaka ndugu zake na mama ananifahamu. Kuna shughuli tuna hudhuria kama couples.