Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaHahahahah mimi kama mumewe pamoja na genge langu tutajumuika kukupaka mafuta ya kimbo panapo kiboga! Jiandae kisaikolojia kwa Annivesary ya kukata na Sime!
HahahahaHahahahah mimi kama mumewe pamoja na genge langu tutajumuika kukupaka mafuta ya kimbo panapo kiboga! Jiandae kisaikolojia kwa Annivesary ya kukata na Sime!
Duh noma Sana.Kutembea na mafuta muhimu kiongozi
Mbona hao ni wengi tu mtaani na wanajulikana mpaka watoto wanajua na wengine wamefika mbali kwa kuozesha watoto wao.Duh 15yrs? Sasa si muachane tu na hizo ndoa zenu mhalalishe huo uchepukaji uwe ndoa? Na huenda hata mke wako na mume wake mchepuko wako wanapendana pia sasa why don't you do cross multiplication? 🤔