Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Anniversary ya miaka 15 na mke wa mtu

Hata mimi na mkeo tunafikisha mwaka wa saba huu mkuu ahsante kwa kutotushtukia.
 
Duh 15yrs? Sasa si muachane tu na hizo ndoa zenu mhalalishe huo uchepukaji uwe ndoa? Na huenda hata mke wako na mume wake mchepuko wako wanapendana pia sasa why don't you do cross multiplication? 🤔
Mbona hao ni wengi tu mtaani na wanajulikana mpaka watoto wanajua na wengine wamefika mbali kwa kuozesha watoto wao.
 
Back
Top Bottom