Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Tunajadili na kujifunza, take it simple annunki.
 
Vizuri. Wewe unaamini katika dini, evolution au haya masimulizi?
 
Hizi habari za Annunak ni story tu ambazo wameziandaa hao wazungu kama walivyofanya kwenye story za kidini. Zote ni nadharia za kufikirika

Mkuu anunaki siyo story wakikupenda wanajionesha kwenye ndoto zako mimi nimewashuhudia.
 

Kwenye concept ya remote wiewing sio tu cia na mi6 au kgb wanazitumia kama njia ya kufanya ujasusi njia hizohizo zinatumika duniani kote katika vyombo vya ulinzi na usalama wa mataifa. Hata hapa tanzania kuna askari polisi wenye uwezo wa utambuzi kwa kuoitia remote viewing. Binadamu wa kawqida hawawezi kufanya remote viewing kwa sababu akili zetu haziwezi kutofautisha kati ya illusiona na reality.
 
Uko sahihi na wengi wao wanatumia psychic drugs ili kufanya hivyo.
 
Mkuu mijadala ya hivi waga iko hivyo, msikwazane/kukwazika mambo kama hayo take it simple.
Mkuu mbona hii mijadala mi nishaizoea niko nayo kwa muda mrefu tu humu JF, hivyo nawaelewa vizuri sana hawa watu wasioamini dini au Mungu ni kwamba wana ile hali ya kujiona kwamba wana akili sana na wana mawazo huru kisa tu hawaamini Mungu au dini hilo tu linawafanya wajihisi hivyo na kwa kuona ni jambo kubwa sana wametumia akili.

Ila usiwaze mkuu mimi sijakwazika.
 
Mkuu anunaki siyo story wakikupenda wanajionesha kwenye ndoto zako mimi nimewashuhudia.
Ila mkuu wewe una bahati sana, nakumbuka pia uliwahi kuniambia katika mambo unayoyaeleza kwenye nyuzi zako humu ni kwamba mengine huwa unaoneshwa live, ila kumbe imetokea kupendwa hadi na Anunnaki kiasi cha kujionesha kwako ndotoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…