Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Mkuu nimeuliza swali naomba unijibu kisha na wewe ndio uniulize,hii ya kwwmba hujanijibu kisha unataka ujibiwe wewe haitoleta tija.

Nikuulize tena kupitia huo ushahidi wa maandishi una amini kwamba kuna Mungu au hayupo?
Unaniulizaje wakati swali langu hujajibu kaka ?

Usiwe na machale sana kaka utaharibu ladha ya mjadala huu,jibu swali nawe uliza ndio ustaarabu
 
Mkuu ukiwa kwenye ndoto unakuwa unajua kila kitu mfano mimi niliona space ship kubwa sana yenye rangi ambazo sijawahi kuziona hapa duniani. Nikajikuta najitambua utofauti na upekee wa ndoto hiyo na nika nyoosha kidole na kusema annunaki wale.

Hivi tu mkuu [emoji23]
 
Kuhusu huko kuvuna hiyo negative energy kutoka kwa wanadamu wanapokuwa na hofu, mimi najua ni majini ndio wanahusika na hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…