Idea kwamba Annunaki wametuumba binadamu wa sasa bado ina ukinzani, Kwa kusoma kwangu na kupitia source mbali mbali, hawa Annunaki ni sehem ya viumbe/fallen angels wanao control Earth affairs, kwa kufanya mind control, genetic manipulation kwa binadamu ili waweze ku incarnate kwenye ulimwengu wetu, na kuweza kuproject concsousness zao kwenye mind za watu,
Kuhusu Annunaki kuumba binadamu wa sasa, nadhani walichofanya na wanacho endelea kufanya ni ku manipulate human DNA ziendane na za kwao, ili waweze ku control Earth na solar system affairs, pia wapate cheap labour, mfano wa majaribio yao yalio fail siku za nyuma ni kuunganisha DNA zao na neanderthal ili wapate cheap labour wa kuwanyisha kazi na kwa ajili ya kuwapeleka kwenye sayari yao ya Nibiru.
Kuna inshu ya Royal family zilizopo hapa Duniani mfano England na viongozi kalibia wote wa Mataifa makubwa, hawa DNA zao zina mchanganyiko na hawa Annunaki/Reptilia, ndio wanatumiwa kutekeleza agenda za hawa Annunaki/ Draconians apa Duniani.
Pia kuna Dhana kwamba hawa annunaki/reptilians/draconias wana vuna negative energy/Adrenaline kutoka kwa wanadamu wanayo i release wanapo kuwa na hofu,. Ndio maana utaona nchi za magharibi kila kukicha wao ni kuanzisha vita, tetesi za vita, maginjwa ya mlipuko watu wawe na hofu, wana chochea umaskini watu wawe na hofu ya kukosa chakula, na mengine mengi.