Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Hoja yao kubwa ni kwamba hayo maandiko yapo toka zamani kabla ya hivi vitabu vya dini na kwamba hata Biblia imecopy huko na Qur'an imekopi kwenye biblia.
Ukifatilia kwa undani na ukifanya utafiti utaona wazi ya kuwa habari za Annunak zimekuta habari za Adamu tangu zamani ndiyo maana nawauliza wamuanishie mtu wa kwanza kuelezea habari hizo. Suala la Annunaki ni nadharia iliyo pandikizwa ili kuwatoa watu katika dini, sababu habari hizo zimewakuta wanadamu wapo tayari.
 
KUTOKANA NA MAELEZO HAYO APO JUU NI DHAHIRI KUWA WANADAMU/WATU WANA ASILI TOFAUTI
Kabla swali lako halijajibiwa tayari umeshajipa majibu kwa swali ambalo mwenyewe umeuliza,hii inaonesha hata uambiwe nini huwezi kuelewa kwa sababu yatari una misimamo yako.
Kama wote wana wanadamu tumotokana na Adam na Hawa, kwanini tuwe na utofauti mkubwa katika makundi ya dam
Kama ulimsoma vizuri mtoa mada,nimesahau sehemu ya ngapi.

Mtoa mada alisema kwamba mazingira anayoishi mtu na mabadiliko anayopitia yanaweza kubebwa na DNA na mabadiliko hayo yakapita mpaka kwa mtoto.

Akatolea mfano wa mtu anayeogelea kwamba akifanya mazoezi sana kuna mambo atabadilika na mambo hayo yanaweza kupita mpaka kwa watoto.

Hivyo mazingira yanavyotuathiri yanaweza kubadilisha hata maumbile yetu na tukawa watu tofauti.

Hivyo kwa hoja hii ni wazi kwamba kutoka katika asili moja sio hoja kwwmba tusitofautiane.

Kwa sababu tumetoka katika asili moja lakini tumetawanyika na kuishi maeneo tofauti,na kula vitu tofauti kabisa.

Na hivyo vitu vinaweza kubadilisha physiology ya mtu akawa tofauti na wengine.

Kwa hivyo kuwa na rhesus tofauti baina ya mama na baba ni jambo la kawaida kwa sababu tulishaathiriwa na mazingira tofauti.


Mkuu kuna uwezekano mkubwa wa sisi kuwa tofauti kwa sababu tumeishj mazingira tofauti.

Kwa sababu hiyo mwili unaadapt mabadiliko ya mazingira.

Na mabadiliko hayo ambayo yanatokea katika miili yetu inapita moja kwa moja kwa vizazi vyetu.

Ikiwa utakataa majibu haya maana yake pia ukatae k2amba hata annunaki hajamuumba mtu kwa sababu ingelikuwa tumeumbww na annunaki sisi wote tusingekuwa na utofauti.

Haiwezekani mimi niwe mfupi alafu hashim thabiti awe mrefu wakati sote tumeumbwa na annunaki.

Haiwezekani mimi niwe na macho makubwa alafu jirani yangu awe na macho maduuchu wakati tumeumbwa na annunaki.

Kwa msingi huo mkuu hoja uliyoitumia mkuu unapaswa kuitetea katika hadhra hii.
 
Mkuu huu mjadala ni mtamu sana ila kuna watu wanataka kuuharibu kwa kusingizia kwamba sisi wafia dini tumekuja kuleta fujo.

Swali zuri mkuu naomba wakijibu unitag maana nina utitiri wa maswali kuhusu mada hii ila naenda kwa vipengele ili tusiondoe laddha ya mjadala
 
Sumerians ni watu kama huyo mtume Muhammed wako, hawa walikuwa wanatunza rekodi na matukio mbali mbali katika lugha yao kwenye tablets, lugha hizo ndizo zinafanyiwa utafiti na kutafsiriwa kwa sababu ndiyo watu wa kwanza kuanzisha civilization. Civilization imeanzia kwao, utaratibu wa maisha tunaoishi leo umeanzia kwao, kwa sababu hizo lazima niwaamini kwa sababu jamii nzima haiwezi kurekodi uongo tofauti na wewe unayeamini masimulizi ya mtu mmoja tu Muhammed. Ni sawa sawa ulinganishe sample ya mtu mmoja kwa samples za watu kumi, sample kubwa itakupa accuracy nzuri, sample moja tu haiwezi kukupa accurate nzuri ya matokeo. Kwa muktadha huo mimi naamini kile kilichosemwa na wengi kwa records, hicho cha Muhammed sikiamini kabisa.
 
Unaposema hivyo, basi hata habari zenu za dini ni visa vya kubuni, wewe uliwahi kumuona mtume Muhammed/Yesu?
 
hii haina tofauti na mtu akuulize ukristo aliuanzisha Nani, ukategemea atajwe mtu mmoja tu, haiwezekani. Lazima Kuna kamati ilikaa chini
 
Sasa mkuu wewe kupuuza mada si sawa na kudondosha punje moja ya mchele kutoka kwenye gunia la mchele.

Hao hakini mitume unaowataja humu references yao ya kuanzisha hizo dini ni hizo hizo jamii, Hebrews, Jeweish n.k dini zao chimbuko lao ni huko. Kwahiyo mimi nikwambie kama ambavyo huyaamini haya, ila unayaamini ya mtume basi ushajiweka katika namna hiyo.
 
Kwahiyo Mungu wako humjuhi?

Nakujibu tena kwamba ni watu wa kale kutoka sumerians kabla ya mtume Muhammed na Yesu hawajatokea katika huu ulimwengu.
 
Ndiyo maana nasema huna majibu yako kichwani.
Eti nisitaje jamii ya watu, really? , yaani unamuamini mtu mmoja kuliko kilichosemwa na wengi?

Mimi ntendelea kutaja hizo jamii kama ndiyo watu wa kwanza kuelezea hizo habari, kabla hata ya mtume Muhammed, yaani huyo kaziliwa kakuta hao wameisha ishi duniani. Kwahiyo kama unataka jina la mtu mmoja, hilo hutalipata kwangu.
 
Nilipoiona hii mada mara ya kwanza nikasema huyu mleta mada naye ni msikiliza ngano na masimulizi yasiyokuwa na uhakika. Kwetu sisi Mungu amejifunua bayana anaishi kwenye maisha yetu vizuri sana. Tunasubiri hadithi zingine za bwana AI
Mungu amejifunua bayana😂😂😂
 
Wametoka sayari nyingine, Kwahiyo haijulikani ni walijiumba/wamejiumba na hakuna sehemu palipoandikwa wameumbwa na huyo Mungu wenu wa kwenye vitabu vya dini.

Na mimi nikuulize kama una amini hakuna kiumbe anayeweza kujitengeneza, je Mungu ni kiumbe/siyo kiumbe? . Mungu alijiumba mwenyewe au hakujiumba mwenyewe?
 
Mungu mwenyewe ndiyo nini?, sijakielewa ulichojibu.
 
Zimekuta habari za Adam kwa uzibitisho hupi. Unawwza kuniambia imepita miaka mingapi tangia Adam awepo duniani?
 
Kwa hivyo tjkubaliane kwamba habari za annunaki na adamu zote hazina uthibitisho na kila mtu aamini maandiko anayotaka ?
Za Annunaki na Adam zinauzibitisho, ila za Mungu hazina uthibitisho. Hakuna kitu chochote chenye force of manifestation alafu kisi exist katika physical form.

Na nimekuuliza yapita miaka mingapi tangu uwepo wa adam hapa duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…