Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Soma Uzi kiundani Kila kitu kipo humo,hao Annunak walishamaliza mission miaka elfu nyingi huko nyuma maana hawakuja Jana Wala juzi ni miaka zaidi ya 5000 Bc huko mwanzo kabisa mwa human civilization
Na kumbuka lengo Ilikua gold na walizivuna Sana na kuondoka nazo na ndio maana walivyotoka baada ya miaka kibao Watu wakaanzisha Nadharia za kuwaabudu na kuwatolea sadaka na kafara wakiamini Ipo siku watarudi hao Miungu,
Nadharia za Dini zikazaliwa hapo
Sasa jiulize mwenyewe miaka Hiyo walikuja na spaceships Leo kiteknolojia watakuaje
Na ndio maana Leo Kuna Nadharia za aliens inadaiwa ndio hao Hao ila wamekuwa invisible sababu ya teknolojia Yao ni kubwa mno kiasi kwamba mpaka wao wakupe access ya kuwaona,

Kuhusu wao kuumbwa Hiyo ni Siri Yao ila wao ndio walioufanya cloning project ya Homo sapiens Sapiens!
 
Labda nikuulize swali kila kitu lazima kiwe na chanzo....je umeshawahi kujiuliza nini chanzo cha MUNGU wako....na je alitokea wapi na je ilikuwaje mpaka akawepo.......nothing is from no where mkali......??????
Nani kakuambia kila kitu lazima kiwe na mwanzo,sio lazima.Hayo ni mawazo potofu kabisa.God Almighty has no beginning,ndivyo alivyojifunua kwetu.He has been and He will be.He is all powerful and Omnipresent and many many other fantastic,incredible, unimaginable and beautiful attributes.
 
Naomba kueleweshwa kidogo, Kama Annunak walitengeneza binadamu ili kuwasaidia kuchimba dhahabu. Wao waliumbwa na nani na hizo sayari wanazotafuta dhahabu zilitengenezwa na nani au zilitokea tu?
 
SEHEMU YA SABA

THE GRAND ZIGGURAT OF UR




Video fupi: http://youtube.be/yVPmLoELao8

Hizo picha juu ni Great Ziggurat of ur, makazi ya Abraham, iligunduliwa na Sir Heinrich Schliemann.

Siku chache baada ya uvamizi wa Ur (Iraq), wanajeshi wa Marekani waliishambulia Ziggurat of Ur. Saddam Hussein alikuwa ameifanya kuwa makao makuu yake (HQ), na inasemekana kwamba alikuwa akijaribu kugundua baadhi ya tecknologia za kale zilizopotea zilizomo kwenye vyumba vya siri katika jengo hilo. Wanajeshi hao wa Marekani walikuwa ni wakikosi maalumu yaani "Task Force 20", na mipango yao ilikuwa ni kuhakikisha wanakomboa maeneo yote ya makumbusho ya kale katika Sumer (ambayo ni Iraq ya leo). Jengo la kwanza kabisa ambalo kikosi hicho kilishambulia ilikuwa ni makumbusho ya taifa Baghdad, na kufika moja kwa moja kwenye andaki ambalo utafiti wote ulikiwa umetunzwa.

Wakati mgunduzi na mtafiti kutoka Uingereza Sir Charles Leonard miaka ya 1930 akiendelea na ugunduzi wake kuhusu Ur (ambayo ni Baghdad ya leo, Iraq), aligundua uwepo wa tomb of Queen Nin Puabi. Kutokana na ugunduzi huo ilionekana malkia huyo wa kale alikuwa na kichwa chenye ukubwa usio wa kawaida, lakini ugunduzi huo ulifanywa siri na kubaki kwenye basement za makumbusho kwa sababu haukuendani na tafiti za kihistoria zinazokubalika kuhusu chimbuko la mtu.

Kadri gunduzi zilivyozidi kutokea tumejikuta kwenye nafasi ambayo tunafahamu ya kwamba ancients hawakuandika historia kwa kufikiria tu bali based on real facts & are actually historical accounts of past events.


Katika picha hii chini (kushoto) ni x-ray cross section ya fuvu la Malkia Puabi.



Fuvu hilo moja kwa moja linafanana au ni sawa sawa na fuvu la mtu wa leo Homo Sapiens(modern man). Makadirio yaliotajwa kulingana na ukubwa wa fuvu lake, imebainika kwamba malkia huyo alikuwa na urefu wa futi 6.5 hadi 7.

Picha hii ni sehemu alipozikwa malkia Puabi, the royal cemetery of Ur, ugunduzi ulifanywa na Leonard Woolley kati ya mwaka 1922 hadi mwaka 1934.



Kutokana na ugunduzi wa double helix DNA strand (by Francis Crick & James Watson), wanasayansi duniani wanaweza kugundua chimbuko na alikotokea mtu wa leo, ilikuwa miaka milioni 2, 4 au 6 iliyopita?. Hili linaweza kufanyika kwa kutrace mitochondrial DNA kutoka mwanamke mmoja hadi mwingine kwa miaka iliyopita, hii ndiyo aina ya DNA inayobaki intact wakati wa hatua ya fertilization, thus allowing us a glimpse into the past.

Matokeo ya tafiti yalipo letwa kutoka kwenye maabara mbali mbali, DNA yetu ilikuwa traced back miaka 250,000 to a women in South Africa. Kama tunavyofanana katika vina saba na huyo mwanamke, tunaweza kumuita Mother Goddesses.

Matokeo hayo yalimwacha Charles Darwin akitaka utafiti wa ziada ufanyike, kama alivyodai chimbuko letu ni miaka milioni 4 kurudi nyuma. Majaribio ya tafiti yaliendelea kufanyika muda baada ya muda na Matokeo yakawa yale yale, tena hapa wanasayansi walikwenda mbali zaidi kwa kugundua HARI gene, inayopatikana kwa watu tu, na inahusika na ukubwa wa ubongo wetu.

Further genetic testing wakagundua the FoxP2 gene, ambayo pia ni ya kipekee kwa watu, na inahusika na speech. Hii inaonyesha kwamba gene hizi ziliwekwa kutoka mahala na kiumbe au kitu kingine chenye uhai.

Mtu aliyekuwa na utafiti huo alikuwa Lloyd Pye ( ) na ningependa kunukuu barua yake aliyotumiwa na geneticist:

Dear Mr. Pye:

I agree with your conclusions(that humans are genetically engineered) and will give you a few hints, if you wish (speaking) as a "DNA Deep Throat." First look up the huge discontinuities between humans and the various apes for: (1) whole mitochondrial DNA; (2) genes for Rh factor; (3) and human Y chromosomes, among others.

Regarding #3, I refer you to K.D. Smith's 1987 study titled "Repeated DNA sequences of the human Y chromosome." It says "Most human Y chromosome sequences thus far examined do not have homologous(same relative position or structure) on the Y chromosomes of other primates." Human female X chromosomes do look somewhat apelike, but not the males Y.

This means that if humans are a crossbred species, the cross had to be between a female apelike creature(creature of earth) and a male being from elsewhere.
 
Mkuu unaweza kutusaidia kutujuza nasie hivo vitu vingine ambavyo havina mwanzo? Maana inaonekana vipo vingi kumbe
 
Mkuu unaweza kutusaidia kutujuza nasie hivo vitu vingine ambavyo havina mwanzo? Maana inaonekana vipo vingi kumbe
Hapa kwa kusema "kila kitu"nilimaanisha singular,kitu kimoja:God,kwamba ni Yeye tu ambaye hana mwanzo wala mwisho,alikuwepo na ataendelea kuwepo.Vitu vingine vyote vina mwanzo na mwisho.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, aisee nimegundua wapi wazungu wameitoa story ya Adamu na hawa...., aisee..., it could be true ila wameinyumbukisha sana hadithi, ile kusema kula tunda la mti wa katikati kumbe ni kufanya mapenzi yaliyopelekea kuzaana na kuujaza mno mji, ikabidi wengi wafukizwe ili nafasi itoshe huko paradise...
 
Hao anunnaki wanyama waliwaumba pia?
 
Nafuatilia nitakuja kuuliza mtoa mada akiruhusu maswali
 
bas ndug mwandish tutengenezee japo mfano wa aya moja ifanane na hio copy and paste...
tupate kuona urahis wake....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…