Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Tupe historia ya bantu mkuu
 
Tupo pamoja mkuu, kuna ka document flani bado nakatafta nikaweke apa kuongezea jambo flani kuhusu baada ya kuishi miaka ya hapa duniani, hatua gani inafuata
 
If yes, who created other living organisms. Who created Annuanak?? If are natural where are they now?
Thinking any creation lazima iwe na creator or beginning/ end ndio uwezo wetu ulipofikia ila nafikiri life is more than that, nikifikiria sana things like atoms to galaxies ndio najua binadamu hatujui chochote, hata miili yetu iliyotubeba wenyewe hatujui vizuri nini kinaendelea huko ndani
 
MKUU MBONA SCIENTIST WAMWEZA KUFANYA RESEARCH NYINGI SANA NAMNA MWILI WA BINADAMU UNAVYOFANYA KAZI, ILA TAMBUA YA KUWA HAKUNA CREATION INAYOJITEGEMEA VINGINEVYO HATA WEWE UNGEWEZA KUWA CREATOR.
 
mapadre huwa wanajua mengi sana yaliyosirini kuhusu hizi imani za kidini.

ni vile tu hawawezi kufunguka kwasababu ya viapo vyao wanavyokula.

ndio maana wengi wao lifestyle yao ni more secular than spiritual.
 
Mkuu ukipata muda ebu anzisha Uzi khs Mungu,Kuna mengi ya kujifunza hapa.
 
MKUU MBONA SCIENTIST WAMWEZA KUFANYA RESEARCH NYINGI SANA NAMNA MWILI WA BINADAMU UNAVYOFANYA KAZI, ILA TAMBUA YA KUWA HAKUNA CREATION INAYOJITEGEMEA VINGINEVYO HATA WEWE UNGEWEZA KUWA CREATOR.
Scientist hawajui kila kitu kuhusu mwili wa binadamu, hata uelewa wa brain yetu wenyewe inavyofanya kazi hakuna mtu anayejua kwa uhakika, google hiyo topic utagundua we dont know even 1% of our own bodies, mfano mmoja scientist hawajui kwa nini watu wana different blood types
 
Hizo ndizo concepts ambazo watu wanatakiwa kuzisoma na kuzifuatilia kiundani, sio mambo ya Passed like a shadow.
 
Mwenye tatizo la uelewa hapa naona ni wewe, una angaika na vitu ambavyo havipo.
 
😁😁😁 Inafikirisha
 
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…