Una point ya msingi sana mdugu, ila mimi niseme kwa ufupi tu kwamba dini hazikuja kutuweka sawa bali kuchuma mali na kuwafanya watu watumwa wa fikra huku lengo kuu likiwa ni kuwatawala watu kupitia imani ya dini. Umezungumzia suala la mapenzi ya jinsia moja, dini ndizo zinaongoza kwa kusapoti na kunajisi watoto tena haya mambo yanafanyika hadi kwenye makasisi, alafu dini hiyo hiyo inafundisha kwamba ukifanya hivyo utachomwa moto.Mambo ya dini ni mambo nyeti na ya siri sana ndiyo maana unaona mada zake haziishi.