Annunaki created Man: Binadamu tunaoishi sasa tulitengenezwa (tuliumbwa) na Annunaki

Sidhani kama kuna atheist humu kazungumzia habari ya uwepo wa Anunaki kama imani..labda uwe umewaelewa vibaya ndugu

Nadhani wapo kiuchambuzi zaidi

Ikiwa sumerian tablets ni za kale kuliko vitabu hivi vya kiimani hasa quran na biblia basi wana kila sababu ya kusikilizwa
Huyo mwamba achana nae...nmeshamwona ana tatzo la uelewa..atakuchosha tu..sis tunafanya uchambuz yeye anahis sis tunaabudu mashetan..hahaha
 
Waliyo engeneer bible ndo hao hao walio engeneer quran with some twisting abit...
Sawa sasa kwanini hatuoni humu kutolea mifano kwenye hiyo Qur'an kama tunavyoona ikifanyika kwenye biblia au ndio watu hawajui kiarabu?
 
Nmekwambia wachambuz weng humu ni christians ambao hawana iman ya uoga kama upande wa pili...ndomana wako open..na kama weng ni christians bas wanaijua vzur bible kuliko kuran..na pia weng wana ignore quran sabab false zake ni za waazi zaid..yaan uongo wake uko dhahir zaid kuliko bible...sasa unaskia et ukiifia din unaendaa pewa tuzo plus some bikra kadhaa etc etc...huon its kinda joke for a religion..ndomana wachambuz hawana mda nayo..nishakujib juu huko nakujib tena hapa...kama hutoelewa na hapa bas usiniulize tena maana naona hauko tayar...perhaps unacho unachokiamin n i respect that.
 
Sidhani kama kuna atheist humu kazungumzia habari ya uwepo wa Anunaki kama imani..labda uwe umewaelewa vibaya ndugu

Nadhani wapo kiuchambuzi zaidi

Ikiwa sumerian tablets ni za kale kuliko vitabu hivi vya kiimani hasa quran na biblia basi wana kila sababu ya kusikilizwa
Kwani mimi nimesema habari za Annunaki ni kama imani? We umenielewa vp mkuu?

Mimi nimesema atheists wanaamini haya masimulizi(wanayakubali) ambayo baadhi yake yana imani za miungu, ukiangalia huu uzi umejazwa mikorokoro (masimulizi) kibao zaidi ya hayo ya Annunaki ambayo wenyewe wanaita ni siri na ndio baadhi yao kuna zengine zinaeleza uwepo wa miungu.

Na issue ya atheist zijaileta mie bali walishaulizana maswali wenyewe humu.
 
Nmekwambia wachambuz weng humu ni christians ambao hawana iman ya uoga kama upande wa pili...ndomana wako open..na kama weng ni christians bas wanaijua vzur bible kuliko kuran..na pia weng wana ignore quran sabab false zake ni za waazi zaid..yaan uongo wake uko dhahir zaid kuliko bible...sasa unaskia et ukiifia din unaendaa pewa tuzo plus some bikra kadhaa etc etc...huon its kinda joke for a religion..ndomana wachambuz hawana mda nayo..nishakujib juu huko nakujib tena hapa...kama hutoelewa na hapa bas usiniulize tena maana naona hauko tayar...perhaps unacho unachokiamin n i respect that.
Sio kwamba mimi sikuelewi ila wewe labda ndio hunielewi mimi, masuala ya kupewa bikra kwenye qur'an yangeachwa (kama ambavyo mnaacha hayo mengine kwenye biblia) na kuchukua yale ambayo yamekopiwa kwenye biblia. Hilo ndio ambalo mimi nalikusudia, labda point niliyoilewa ni kwamba wachambuzi walikuwa wakristo au ni wakristo.

Ok mkuu tuishie hapa.
 
Huyo mwamba achana nae...nmeshamwona ana tatzo la uelewa..atakuchosha tu..sis tunafanya uchambuz yeye anahis sis tunaabudu mashetan..hahaha
Hakuna nilipo wahusisha ninyi na kuabudu bali nimezungumzia ninyi kuamini masimulizi(kuyakubali) ambayo yanajipinga yenyewe ila mnayakubali tu kwa kigezo ni mambo ya siri yaliyofichwa na pia nikazungumzia atheists nao kuyakubali haya masimulizi ambayo baadhi yao yana imani za miungu ndani yake.
 
Ndugu hongera kwa maswali yako, ila mimi nikwambie nilichochambua katika thread hii ni facts and visible, hadithi na masimulizi yapo kwenye vitabu vya dini and can not be proved, hapa tumejadili historia ambayo ni proved with specific evidences.
 
Mimi nimefuatilia huu uzi na umenivutia sana nimejua vitu vingi sasa nina hoja zangu ningeomba tuzijadili action and reaction are equal but opposite to each other tunaona kwa ushahidi kabisa watu wakiuza soul zao hasa watu maarufu na wanamuziki na wakishauza katika miziki yao lazima waonyeshe evil occult kama sadaka za damu na vitu vingi kama kuhamasisha ushoga ambao sasa hakuna movie nzuri itakayotoka ambayo haitaonyesha mambo ya ushoga yaani wanajitahidi kila kitu ambacho sio sahihi kionekane sahihi kwa vyovyote hizo ni negative power zinazotaka wanadamu tutende maovu sasa lengo la kutaka wanadamu tutende maovu na dhambi nyingi ni kwaajili ya kumkomoa nani au ili nini kitokee baada ya hapo,

Upande wa pili kuna nguvu kupitia vyombo vya dini no matter ukristo na uislam vinavyosisitiza tusitende maovu tupandane tusiwe na tamaa tuheshimiane yaani kwaujumla tusitendeane maovu.

Hapa ndio tunapata lengo la dini duniani tumezungukwa na negative energy nyingi na ndio maana tunafundishwa kuhusu positive energies.

Yesu au Mohammad kama walikuwepo au hawakuwepo ila kupitia wao tunajifunza kuwa na positive energy among each other hata kama hakuna pepo wala jehanamu ila kama uliishi kwa kutenda mema hata ukiondoka nafsi yako huko ilipo itaishi kwa amani tofauti na aliyetenda maovu kama mtu anadhani anaweza kumlawiti au kumnajisi mtoto mdogo na akajua akifa nafsi yake huko ilipo haitapata adhabu kwasbabu hakuna hell then Dunia ingekuwa mahala pasipokalika watu wasingeogopa kutenda maovu dini zilikuja kutuweka sawa no matter the style ila dini zote zinataka tutendeane mambo mazuri.
Una point ya msingi sana mdugu, ila mimi niseme kwa ufupi tu kwamba dini hazikuja kutuweka sawa bali kuchuma mali na kuwafanya watu watumwa wa fikra huku lengo kuu likiwa ni kuwatawala watu kupitia imani ya dini. Umezungumzia suala la mapenzi ya jinsia moja, dini ndizo zinaongoza kwa kusapoti na kunajisi watoto tena haya mambo yanafanyika hadi kwenye makasisi, alafu dini hiyo hiyo inafundisha kwamba ukifanya hivyo utachomwa moto.Mambo ya dini ni mambo nyeti na ya siri sana ndiyo maana unaona mada zake haziishi.
 
Mimi sina tatizo mkuu na wala huko kuita masimulizi sio kwamba nasema ni uongo au ila ni kwamba humu yameelezwa mengi mno hayo ambayo mnaita siri na ukiangalia utaona yanapingana ila ajabu wenyewe(wazee wa mambo ya siri) hamna tatizo na hilo ilimradi ni mambo ya siri ila shida kwenu ni vitabu vya dini tu.
 
Mitazamo haiwezi kuwa sawa inategemea na uelewa wa mtu na jinsi mtu anavyolipokea jambo na kulitafakari, kisha akafanya analysis mwenyewe ili aone kama kuna ukweli au lah. Hamuwezi kuwa na mawazo sawa watu wote, hata kwenye vitabu vya dini maandiko yametofautiana kulingana na mlengo wa dini husika ila dhima yao wote ni moja, kumuabudu Mungu.

Mwisho maandiko ya dini bado yametumika kama reference katika kuwasilisha kile kinachojadiliwa.
 
Vizuri kabisa, sasa kwanini usitolee na mifano kwenye Qur'an ili wale wanaoijua Qur'an tu na hawajui biblia nao wapate mwanga? Maana huwa mnazitaja kwa pamoja kuwa hizi dini mbili zinapotosha na kusema Qur'an ni copy tu ya biblia, sasa kwanini msitoe na mifano kwenye Qur'an maana si ndio yaleyale ila lengo yule anayeijua Qur'an tu naye apate mwanga.
Mkuu nimegundua wewe ni unaamini kile unachokiamini jambo ambalo ni jema pia kwa sababu amejaribu kukujibu tena kwa kukutolea mifano mingi ila hujataka kumuelewa na kupitia post yako #628 nimegundua wewe ni dini gani ndiyo maana umekomaa kwelikweli kitabu cha dini yako kutonakiliwa kwenye mijadala ya hivi, nahisi unaamini kwamba dini yako ndiyo dini sahihi na ndiyo maana unaona hawafanyi hivyo labda.
 
Mimi nimefuatilia huu uzi na umenivutia sana nimejua vitu vingi sasa nina hoja zangu ningeomba tuzijadili action and reaction are equal but opposite to each other tunaona kwa ushahidi kabisa watu wakiuza soul zao hasa watu maarufu na wanamuziki na wakishauza katika miziki yao lazima waonyeshe evil occult kama sadaka za damu na vitu vingi kama kuhamasisha ushoga ambao sasa hakuna movie nzuri itakayotoka ambayo haitaonyesha mambo ya ushoga yaani wanajitahidi kila kitu ambacho sio sahihi kionekane sahihi kwa vyovyote hizo ni negative power zinazotaka wanadamu tutende maovu sasa lengo la kutaka wanadamu tutende maovu na dhambi nyingi ni kwaajili ya kumkomoa nani au ili nini kitokee baada ya hapo,

Upande wa pili kuna nguvu kupitia vyombo vya dini no matter ukristo na uislam vinavyosisitiza tusitende maovu tupandane tusiwe na tamaa tuheshimiane yaani kwaujumla tusitendeane maovu.

Hapa ndio tunapata lengo la dini duniani tumezungukwa na negative energy nyingi na ndio maana tunafundishwa kuhusu positive energies.

Yesu au Mohammad kama walikuwepo au hawakuwepo ila kupitia wao tunajifunza kuwa na positive energy among each other hata kama hakuna pepo wala jehanamu ila kama uliishi kwa kutenda mema hata ukiondoka nafsi yako huko ilipo itaishi kwa amani tofauti na aliyetenda maovu kama mtu anadhani anaweza kumlawiti au kumnajisi mtoto mdogo na akajua akifa nafsi yake huko ilipo haitapata adhabu kwasbabu hakuna hell then Dunia ingekuwa mahala pasipokalika watu wasingeogopa kutenda maovu dini zilikuja kutuweka sawa no matter the style ila dini zote zinataka tutendeane mambo mazuri.
Nmependa concept ya positiveness n order ulivyoongelea..uko correct kabisa...kwamba angalau din znafundisha hilo..na ni kwel kusingekua na mafundisho ya dini hapa dunian pasingekalika...uko correct kabisa...n law n order hazikuanza leo wala jana...kuna dini nying sana duniani...kuna dini mpya na dini za kale..zote zimeongelea law n order..tena dini nyingne zmefanya ku copy n paste everythng...kuna dini zilikuepo dunian kabla ya dini mbili hizi kubwa yaan ukristo na uislam...na zote zilielekeza mambo positive..i guess its what who made us n everythng wanted...hakuna mtoto anaezaliwa halaf akaja mchinga mama yake ..awe anamafunzo ya din au hana...its nature...labda awe karukwa na akil...1/1000....so na kuhusu wew kuhis mjadala huu unaongelea -ve side of faith n religion..si kwel...hapa tunafanya uchambuz wa whats realy happened. N the logic behind...mfano...huwez nambia et pyramids zilijengwa na egyptians kirahis rahis tu halaf utake nikuamin...wakat hakuna vielelezo vyovyote vinaonyesha a human built them hata kwa tech gan...halaf kirahis tu niamin et sabab naogopa kuchunguza ukwel unatisha...no no no...hapo utakua wrong. So the same watu tunaochambua humu tunajiuliza meng kuhusu logics na truth za religion n faith tulizonazo kwamba zna ukwel gan..maana kuna vtu haviko logicaly correct..sasa ukiuliza hiv unaonekana kama mpinga vitu flan...kitu ambacho si kwel...haya mtu anajiuliza...jehanam ya moto...kwamba tukifanya dhamb tunachomwa milele uwe mtoto uwe mtu mzima utachomwa tu. Sasa unajiuliza..dhamb zenyew hiz za kuzin..kutukana..kuiba ndo nichomwe ziwa la moto milele?..ili iweje..yaan alieniumba anifanyie unyama wote huo ambao hata binadam kawaida hawez fanya...?ili iweje..sasa ndo vtu ambavyo weye akil tunaona haviingii akili..sasa mnataka wala tusihoji...no no no....
 
Mkuu nimegundua wewe ni unaamini kile unachokiamini jambo ambalo ni jema pia kwa sababu amejaribu kukujibu tena kwa kukutolea mifano mingi ila hujataka kumuelewa na kupitia post yako #628 nimegundua wewe ni dini gani ndiyo maana umekomaa kwelikweli kitabu cha dini yako kutonakiliwa kwenye mijadala ya hivi, nahisi unaamini kwamba dini yako ndiyo dini sahihi na ndiyo maana unaona hawafanyi hivyo labda.
Mkuu unakumbuka niliandika gazeti Kwa ajili ya kumjibu huyo bwana swali la Kwanini Quran haitumiki kwenye reference na wewe ukanipongeza kwamba majibu yameshiba na yamejitosheleza, ila nikakwambia majibu yamejitosheleza kwako na Sio kwake, course nishajua ana mlengo upi

Hivi Kwa mtu mwenye kuuliza Kwa lengo la kufahamu baada ya Yale majibu anaweza kuendelea na topic Ile ile? Ataendelea na maswali Yale Yale Kwakuwa teyari yeye ana majibu yake teyari Kichwani, kwahiyo we unapoteza Muda wako tu bure, Muulize ye anajua ni kwa nini Quran haitumiki then akujibu na hiyo case ndio itakuwa mwisho wake

Jf inafanya tunajadiliana na watu aina nyingi sana laiti kama ingekuwa ni live, Kuna baadhi ya watu ni ile aina ambayo akikusogelea na wewe unasogea pembeni, ila Kwakuwa Kila mtu yupo nyuma ya keyboard basi hatuna budi kum treat kila mmoja the same, ila Kuna watu hawastahili ata quote yako basi tu
 
Una point ya msingi sana mdugu, ila mimi niseme kwa ufupi tu kwamba dini hazikuja kutuweka sawa bali kuchuma mali na kuwafanya watu watumwa wa fikra huku lengo kuu likiwa ni kuwatawala watu kupitia imani ya dini. Umezungumzia suala la mapenzi ya jinsia moja, dini ndizo zinaongoza kwa kusapoti na kunajisi watoto tena haya mambo yanafanyika hadi kwenye makasisi, alafu dini hiyo hiyo inafundisha kwamba ukifanya hivyo utachomwa moto.Mambo ya dini ni mambo nyeti na ya siri sana ndiyo maana unaona mada zake haziishi.

Mi nadhani point kubwa ni kuabudu kwa kutenda mema kama kusaidia maskini yatima na wajane na kutofanya mambo ambayo mtu hupendi kufanyiwa imani katika hili itaokoa nafsi zetu
 
Historia nzuri lakini nina maswali kadhaa! Kwanza hao annunaki na hao viumbe wengine wao waliumbwa na nani..?
Pili ktk maelezo inaonyesha hao annunaki walikuwa na teknolojia kubwa sana na maarifa makubwa sana,mpaka kuweza kuumba mtu na lengo la kuumba mtu ni ili wawe vijakazi wao wakusanye dhahabu!. Mkanganyiko wangu ni hapa inawezekana vipi wawe na uwezo wa kuunda mtu ila washindwe kuunda dhahabu ambayo ndio waliihitaji zaidi..??
Kuhusu swali la kwanza, kwangu mimi katika references nilizozipitia hakuna palipo andikwa Annunaki waliumbwa na nani.

Swali la pili jibu sahihi na zuri zaidi unaweza kulipata kwa kujibiwa na Annunaki wenyewe, hapa majibu utakayoyapata kutoka kwetu yatakuwa ya nadharia na kufikirika tu.
 
Back
Top Bottom