luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,160
- 21,676
I see haya mambo ni mazitoYaani siku zote hizo ilikuwa haujashtuka kuwa Dini Ni false assumption !?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I see haya mambo ni mazitoYaani siku zote hizo ilikuwa haujashtuka kuwa Dini Ni false assumption !?
Kama mabaki ya giants ambao yanasemekana ni ya hao Annunaki yamegunduliwa sehemu mbali mbali duniani na vina saba vyake vinafanana na vya kwetu, na kama inavyosemwa tumetokana na wao, mimi naweza kusema ni viumbe watu kama sisi, isipokuwa kuwa wao ni beyond extraordinary level ukilinganisha na sisiSawa Mkuu asante. Ningependa kufahamu hao Annunak ni watu?
Shetani ana wivu mbaya! Hapendi kabisa tunavyomuabudu Mungu wa kweli! Anatamani sana tuache kumuabudu Mungu tumuabudu yeye! Tusipokuwa makini tutaangushwa kiimani! Annunak siyo Mungu!!! Hajaumba chochote!! Yeye mwenyewe ni kiumbe! Mungu siyo kiumbe! Hajaumbwa na yeyote!SEHEMU YA KWANZA.
Ukweli uliofichwa, unaopatikana kwenye vipande vya mawe vyenye jumbe kutoka sumerians, Babylonians, Akkadians.
Ukizungumzia kuhusu watu wa kale, maisha ya kale na viumbe waliofika duniani kutoka sayari nyingine huwezi kuwasahau annunaki. Historia kutoka katika summerian culture inaeleza kwamba, Annunaki waliabudiwa na walihusika katika kuhukumu mema na mabaya, gods and goddesses waliokuja duniani kumtengeneza mtu (modern man) kutoka kwenye ulimwengu mwingine, ambao unasemekana ni sayari ya Nibiru (sumerian God & Goddesses -the Annunaki, 2016).
Annunaki walitawala maisha na mifumo ya imani ya watu wa kale waliojulikana kama Mesopotamia, lakini ambao kwa sasa wanajulikana kama Tigris-Euphrates river system. Je walikuwa Mungu? hili suala ambalo linazua mkanganyiko kwenye hii saga.
Zecharia Sitchin, muhandishi na mtafiti na mtafsiri maandishi ya kale na msomi kutoka chuo kikuu cha London, anasema hawakuwa Mungu, japo walichukuliwa na kuabudiwa kama Mungu. Baada ya kufanya tafiti nyingi za maandiko ya kale aliitimisha kwa kusema kwamba, hawakuwahi kuwa Mungu, bali viumbe wa ajabu wenye nguvu waliokuja duniani kutoka sayari ya mbali Nibiru inayopatikana kwwnye mfumo wa sayari, ambayo uikaribia dunia kila baada ya miaka 3,500 ikiwa kwenye muhimili wake.
Creation of Human Race
Kutokana na ushahidi uliopatikana kutoka kwenye maandiko ya kale, inasemekana zaidi ya mamia ya maelfu ya miaka iliyopita walikuja viumbe waliofanana na Annunaki kwenye sayari ya dunia- Enki na Enlil, ambao walikuwa watoto wa Annunaki, katika kipindi hicho Anu alikuwa bado anaishi hadi millennia karibu na kuzaliwa kwa Jesus Christ.
Viumbe hao walikuwa na ujuzu mkubwa katika genetic manipulation, hivyo kwa kutumia ujuzi huu walifanya majaribio mengi (proto-human) ya kumtengeneza binadamu wa sasa(modern man) kwa kutimia teknolojia ya human cloning. Kivipi?, ntaelezea mbeleni.
Hebu turudi kwanza kwenye biblia na historia ya kuumbwa kwa mwanadamu. Historia ya Biblia ya uumbaji inatueleza kwamba, mwanaume na mwanamke hawakuumbwa kwa wakati mmoja, bali mwanamke alitolewa kwenye ubavu wa mwanaume (Adam), Adam akiwa mtu wa kwanza kuumbwa hapa duniani kutokana na maandiko ya Biblia, Kwahiyo Adam ndiyo mwanadamu wa kwanza kutokana na maandiko matakatifu ya Biblia takatifu. Je mwanamke alitolewaje kwenye ubavu wa mwanaume? (hapa imani ndiyo inatuongoza tuliache kwanza lilivyo).
THE CREATION OF MAN
Ushahidi wa kwanza kabisa, uliotafsiriwa na sumerians unaonyesha ya kwamba mtu (binadamu wa sasa) alitengenezwa/kuumbwa na Nefilim. Ushahidi huu umezua mkanganyiko kuhusu theory of evolution na Judeo-Christian tenets ambayo imeegemea kwenye Biblia, lakini ukweli ni kwamba ujumbe uliopatikana kutoka Sumerian texts, ndiyo unaoweza kudhibitisha hizo nadharia mbili.
Ukisoma kutoka epic of creation ya sumerians, imeelezwa kwamba uwepo wa mtu, ulitokana na uwepo wa Nefilim zama hizo, ambapo matukio mbali mbali yalirekodiwa, ,mfano tukio la Enlil na Ninlil, tukio lililotukia kabla hata ya uumbaji wa mtu, wakati ambao kwenye Nippur waliishi gods tu, vile vile maandishi haya yanaelezea kuumbwa kwa dunia na maendeleo ya mimea na maisha ya wanyama, hii inaweza kudhibitisha theories za mabadiliko (evolution) za sasa.
Sumerians texts zinaeleza kwamba, wakati ambapo Nefilim alikuja duniani kwa mara ya kwanza, sanaa ya kupanda mbegu za mazao, matunda na ufugaji wa wanyama ulikuwa bado haujaanza duniani. Vile vile Biblia inasema hivyo, kuhusu kuumba mtu kwa siku 6. Kitabu cha Genesis kimegusia hatua za kwanza za mabadiliko (earlier evolution stage):
No plant of the cleared field was yet on the earth,
No herb that is planted had yet been grown,
And Man was not yet there to work the soil.
Lakini vile vile Sumerians texts zote zinaeleza kwamba Miungu ilimtengeneza mtu ili afanye kazi yao. Creation of epic imelithibitisha hilo (Nukuu zote nitaziambatanisha zilivyo kwenye vitabu bila kuzitafsiri ili nisipindishe maana kwa msomaji):
I will produce a lowly primitive,
Man shall be his name.
I will create a primitive worker ,
He will be charged with the service of the gods,
that they might have their ease.
Neno mtu(man) limetokana na lugha ya Sumerians na Akkadians, ambalo lilitokana na maneno lulu (primitive ), lulu amelu (primitive worker), an awilum (laborer).
Turudi kwenye biblia, baada ya Mungu kumuumba mwanadamu, akampa bustani ya Eden aitunze na kuitawala dunia na vyote vilivyomo, lakini Adam na Eve wakamkosea Mungu kwa kula tunda la mti wa ufahamu. Mungu akasema tazama, mtu amekuwa mmoja wetu, kufahamu mema na maovu. Je huyo Mungu alikuwa anamwambia nani?, na Mungu anayezungumziwa hapa katika Sumerians ni Elohim (Annunaki).
Agano la kale limeweka wazi ya kwamba mtu hakuwa Mungu wala hakutoka mbinguni. Mtu wa kwanza aliitwa Adam kwa sababu aliumbwa kwa "adama" ambayo ina maana ya udongo wa dunia (mtu akifa tunasema ametoka mavumbini, amerudi mavumbini).
Adam aliumbwa katika picha na ufanano wa Muumba (Mungu), kuumbwa kwa ufanano huo, hakuachi wasiwasi wowote ya kwamba Mtu alifanana na Mungu kimwili, kimuonekano wa nje na ndani. Je mtu angewezaje kufanana na muumba wake? Mtu alitengenezwaje? (Majibu utayapata mbeleni).
Mnamo mwaka 1859 Charles Darwin alichapisha utafiti wake kuhusu evolution "On the Origin of Species by Means of Natural Selection, or the Preservation of Favoured Races in the Struggle for Life". Darwin kutokana na utafiti wake huo, alihitimisha kwa kusema kwamba, viumbe hai wote akiwemo mwanadamu ni matokeo ya mabadiliko(evolution by natural selection). Mwanzoni kanisa lilikuja juu kwa kumpinga lakini badae kadri wanasayansi na watafiti walivyozidi kutoa machapisho yao, kanisa likakubaliana.
Lakini je tumetokana na apes, kama ni hivyo mbona wa sasa hawabadiliki. Evolution kwa ujumla inaweza kuelezea matukio yaliyosababisha mabadiliko ya maisha na aina mbali mbali za maisha zilizokuwepo duniani, kuanzia kwenye kuumbwa kwa mtu, lakini evolution haiwezi kuelezea kuhusu uwepo wa binadamu wa sasa (modern man/Homo sapiens) na haina udhibitisho wowote wa kuonyesha jinsi mabadiliko ya ghafla kutoka Homo erectus kwenda Homo sapiens yalivyotokea.
Hominid ya genus Homo ni matokea ya evolution, lakini Homo sapiens ni matokea ya tukio la mabadiliko na mapinduzi ya haraka sana. Homo sapiens(binadamu wa sasa), ilitokea miaka 300,000 iliyopita, muda ambao ni wa karibu sana.
Watafiti na wanasayansi hawana maelezo ya nini kilitokea, kupelekea mabadiliko ya ghafla hivyo na kutokea kwa binadamu wa sasa, lakini jumbe kutoka sumerians na Babylonian zimeelezea. Agano la kale pia limeelezea.
Homo sapiens-modern man-aliletwa na miungu wa kale (ancient gods).
Aliletwa kivipi? na wapi?. Endelea kufuatilia hapa hapa.
N.B. Andiko hili linaweza lisiishe karibuni kwa sababu nataka niweke kila aina ya ushahidi ili kudhibitisha ukweli huu.
View attachment 2099862
Shetani ni nani na Mungu ni nani?Shetani ana wivu mbaya! Hapendi kabisa tunavyomuabudu Mungu wa kweli! Anatamani sana tuache kumuabudu Mungu tumuabudu yeye! Tusipokuwa makini tutaangushwa kiimani! Annunak siyo Mungu!!! Hajaumba chochote!! Yeye mwenyewe ni kiumbe! Mungu siyo kiumbe! Hajaumbwa na yeyote!
Labda tuseme hivi ; kwa mujibu wa Biblia sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wake Mungu!! so sisi ni miungu!! pia sababu tumetokana na Mungu! tunaweza kuwatumia malaika chochote! na wakatii, mpaka leo. hii ndo zawadi alio tupa Mungu tuna amri hiyo!Lakini hawa jamaa wanaoitwa kwa jina la heshima malaika (ili kututofautisha na sisi) waliweza kuzaa na sisi japo si viumbe wa kingdom moja.! Hii ni shida
Hakuna kitu rahisi sana, kama kumjua Mungu wa kweli, tena ukimtaka utamjua tu! ila sasa ni udumu kwa sara na Maombi!! kukwambia tu kwa mdomo wangu na kwa kupitia imani yangu ni ngumu kuelewa ndg!"Mungu ni nani?, uwepo wa Annunaki umethibitishwa kwa facts, Mungu tunamthibitishaje
nimeikubali san hii akhsante mkuu daaa!SEHEMU YA KWANZA
Kwa wanaopenda kuongeza maalifa zaidi kuhusu (annunaki/watchers/fallen angels / giants ) nimetoa tafsiri isiyo rasmi kutoka kingereza kuja kiswahili kwa msaada wa Google translate, kukitafsiri kitabu cha Enoko/The Book of Enock
Hii simulizi ya wanefili/giants/annunaki/fallen angels imeelezwa kwenye kitabu cha Mwanzo japo kwa ufupi sana, ambapo haiwezi kutoa picha halisi kwa kilicho tokea enzi hizo kabla ya gharika ya nuhu, na nini kilisababisha Mwenyezi Mungu alete gharika, tofauti na masimulizi tunayo fundishwa makanisani/misikitini.
Nimeanza na nukuu kutoka kitabu cha Mwanzo sura ya 6,
"1 Ikawa wanadamu walipoanza kuzidi usoni pa nchi na wana wa kike walizaliwa kwao, 2 wana wa Mungu waliwaona hao binti za wanadamu ya kuwa ni wazuri; wakajitwalia wake wo wote waliowachagua.
3 Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa yeye naye ni nyama; basi siku zake zitakuwa miaka mia na ishirini.
4 Nao Wanefili walikuwako duniani siku zile;tena ,baada ya hayo ,wana wa Mungu walipoingia kwa binti za binadamu,wakazaa nao wana;
hao ndiyo waliokuwa watu hodari zamani ,watu wenye sifa.
Hapa chini nimeambatanisha tafsiri siyo rasmi ya kitabu cha enoko/The Book of Enock, kinacho elezea kwa undani kitabu cha Mwanzo sura ya 6.
6.1 Ikawa wanadamu walipozidi kuongezeka, katika hizo siku walizaliwa kwao binti wazuri na wazuri. 6.2 Na Malaika, wana wa Mbinguni, wakawaona na wakawatamani. Na wakaambiana: Njooni, tujichagulie wake kutoka watoto wa watu, na tuzae, kwa ajili yetu wenyewe, watoto."
6.3 Naye Semyaza, mkuu wao, akawaambia, Je! “Ninahofia kwamba msije mkatamani kitendo hiki kifanywe na mimi peke yangu, kwa kuwa nitalipa kwa dhambi hii kubwa."
6.4 Wakamjibu wote, wakasema, "Sote na tuape kiapo, na kufungamana sisi kwa sisi kwa laana, ili tusibadilike. mpango huu, lakini kutekeleza mpango huu kwa ufanisi."
6.5 Ndipo wakaapa wote pamoja, na wote wakafungamana kwa laana 6.6 Na hao wote walikuwa mia mbili, wakashuka Ardis; ambao ni kilele cha Mlima Hermoni. Nao wakauita mlima Hermoni kwa sababu juu yake waliapa na kufungiana kwa laana.
6.7 Na haya ndiyo majina ya wakuu wao; Semyaza aliyekuwa kiongozi wao, Urakiba, Ramiel, Kokabiel, Tamiel,Ramieli, Danieli, Ezekieli, Barakieli, Asaeli, Armaros, Ananeli, Zaqiel, Samsiel, Satael, Turiel, Yomiel, Araziel.
6.8 Hao ndio wakuu wa wale Malaika mia mbili na wa wale wengine wote pamoja nao.
7.1 Wakajitwalia wake, na kila mtu akajichagulia mmoja kila mmoja. Na wakaanza kuingia ndani yao na kufanya uasherati na wao.
Na wakawafundisha hirizi na siga, na wakawaonyesha kukata mizizi na miti.
7.2 Wakapata mimba, wakazaa Majitu makubwa. Na urefu wao ulikuwa dhiraa elfu tatu.
7.3 Hawa wakawatumikisha wanadamu; mpaka wanadamu wakashindwa kuwatosheleza
7.4 Na hao Wanefili wakawageukia ili kuwala watu. 7.5 Wakaanza kutenda dhambi juu ya ndege, na wanyama, na juu ya wanyama
watambaao, na juu ya samaki, wakaanza kulana nyama wao kwa wao, na kunywa damu zao
7.6 Kisha nchi ikawalalamikia uasi wao.
8.1 Naye Azazeli akawafundisha watu kutengeneza sword, na visu, na mapanga na ngao, Naye akawaonyesha mambo baada ya haya, na ufundi wa kutengeneza; vikuku, na mapambo, na jinsi ya kuremba/kupamba kope za macho; na vito vya thamani, na kila aina ya rangi . Na ulimwengu ulibadilishwa.
8.2 Kukawa na uovu mkuu, na uasherati mwingi; Wakatanga mbali, na njia zao zao zote zilionekana kua mbaya.
8.3 Amezaraki akawafundisha wote wanaoroga na kukata mizizi, Armaros akawafundisha uchawi wa kutumia maneno, Baraqiel unajimu, na Kokabiel aliwafundisha utabiri, na Tamiel alifundisha unajimu, na Asradel alifundisha njia ya Mwezi/path of the moon
8.4 Na sauti za vilio vya wanadamu zilifika Mbinguni.
9.1 Kisha Mikaeli, Gabrieli, Surieli na Urieli, wakatazama chini kutoka Mbinguni na kuona wingi wa damu iliyokuwa ikimwagwa juu ya nchi na uovu uliokuwa ukifanyika duniani.
9.2 Wakaambiana, sauti ya vilio vya wanadamu, na kilio cha Nchi iliyoharibiwa na ipae kwa sauti kubwa; mpaka Lango la Mbinguni.
9.3 Na sasa kwenu, Enyi Watakatifu wa Mbinguni, roho za wanadamu zinanung'unika; wakisema: "Tupelekee vilio na mateso yetu mbele ya Aliye juu."
9.4 Na wakamwambia Mola wao Mlezi, Mfalme: Mola Mlezi wa Miungu, Mungu wa miungu! Mfalme wa wafalme! Kiti chako cha enzi kitukufu chadumu vizazi vyote vya Mwenyezi-Mungu, ulimwengu, na kubarikiwa na kusifiwa!
9.5 Wewe ndiye umefanya kila kitu, na uwezo juu ya kila kitu ni chako. Na kila kitu kimefunuliwa, na kipo wazi, mbele yako, na unaona kila kitu, na hakuna kitu ambacho kinaweza kufichwa kutoka kwako.
9.6 Basi angalieni alivyofanya Azazeli; jinsi alivyofundisha maovu yote juu ya dunia, na kufunua siri za milele za Mbinguni.
9.7 Na Semyaza amewafundisha wanadamu uchawi wa kutumia maneno, uliyempa mamlaka kuwatawala wale walio pamoja naye.
9.8 Wakaingia kwa binti za wanadamu pamoja, wakalala na wanawake, wakawa najisi, na kuwafunulia dhambi hizi.
9.9 Na hao wanawake wakazaa Majitu, na kwa hayo dunia nzima imejawa na umwagaji damu na uovu
9.10 Na sasa tazama roho zilizokufa zinalilia na zinalalamika Nje ya lango la Mbinguni, na maombolezo yao yamepaa, wala hawawezi kutoka mbele ya uovu unaofanywa duniani.
9.11 Nanyi mnajua yote kabla hayajatokea, nanyi mnajua haya, na kinachomhusu kila mmoja wao. Lakini husemi chochote kwetu. Tunapaswa kufanya nini kuhusu hili?"
mkuu natafuta hiki kitabu cha kiswahiliSEHEMU YA KWANZA

Nmekuuliza swal huko juu hunajib mpaka muda huu...naona unachanganya sana mada mkuu. Haya mambo hebu yaache naona unaanza ongea vtu vingne sasa...Labda tuseme hivi ; kwa mujibu wa Biblia sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wake Mungu!! so sisi ni miungu!! pia sababu tumetokana na Mungu! tunaweza kuwatumia malaika chochote! na wakatii, mpaka leo. hii ndo zawadi alio tupa Mungu tuna amri hiyo!
Tunaweza kuumba chochote na kikawa, kikatutumikia mfano watoto, meli, gari , ndege, rocket nk! n wanyama tunawatawala! na Malaika vile vile ni watu pia! ila wao hawana dhambi,
lkn hao walio kuja ( the watchers) walikuja kumfundisha mwanadamu matumizi mbalimbali ya mimea , madawa, kuunda siraha nk lkn walianguka dhambini !! jua malaika ni binadamu kabisaaa!...hata hapo wewe ni roho.....km hujaelewa
fikiria tu unapoootaga sometimes ndoto za ajabu ajabu, jiulize tu ni nani yule huwa anatembea ndoton? tena unakuwa na kumbukumbu nazo unaweza cheka kwa zile ndoto za ajabu wengine huwaga wanaota na yanatokea kweli!
Kama huotagi sasa wewe utakuwa na kundi lako lipo ebu nikuulize mkuu umewahi kuota?
so wakazini na wanadamu sababu waliona mabinti za wanadamu ni njema kwao wakazaa nao!!! kitabu cha mwanzo utaipata hii! na walikuwa na majina yao kabisaaa!! nakumbuka mmojawao aliitwa Semjaza!!
Mkuu tafsiri ya kiswahili ya kitabu cha "The book of Enock" nadhani haipo, nimetumia google translate kutafsiri kuja kwenye kiswahili.mkuu natafuta hiki kitabu cha kiswahili
Ok. kwahiyo Mungu anayeabudiwa hajulikani?Shetani ana wivu mbaya! Hapendi kabisa tunavyomuabudu Mungu wa kweli! Anatamani sana tuache kumuabudu Mungu tumuabudu yeye! Tusipokuwa makini tutaangushwa kiimani! Annunak siyo Mungu!!! Hajaumba chochote!! Yeye mwenyewe ni kiumbe! Mungu siyo kiumbe! Hajaumbwa na yeyote!
Kama unasema tumeumbwa kwa mfano wake na sisi ni miungu basi naye ni mmoja wapo wa miungu. Na ukisema ni gods basi tablets kutoka sumerian zitakuwa sahihi kusema tumetengenezwa na Annunaki ambao ni miungu pia.Labda tuseme hivi ; kwa mujibu wa Biblia sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wake Mungu!! so sisi ni miungu!! pia sababu tumetokana na Mungu! tunaweza kuwatumia malaika chochote! na wakatii, mpaka leo. hii ndo zawadi alio tupa Mungu tuna amri hiyo!
Tunaweza kuumba chochote na kikawa, kikatutumikia mfano watoto, meli, gari , ndege, rocket nk! n wanyama tunawatawala! na Malaika vile vile ni watu pia! ila wao hawana dhambi,
lkn hao walio kuja ( the watchers) walikuja kumfundisha mwanadamu matumizi mbalimbali ya mimea , madawa, kuunda siraha nk lkn walianguka dhambini !! jua malaika ni binadamu kabisaaa!...hata hapo wewe ni roho.....km hujaelewa
fikiria tu unapoootaga sometimes ndoto za ajabu ajabu, jiulize tu ni nani yule huwa anatembea ndoton? tena unakuwa na kumbukumbu nazo unaweza cheka kwa zile ndoto za ajabu wengine huwaga wanaota na yanatokea kweli!
Kama huotagi sasa wewe utakuwa na kundi lako lipo ebu nikuulize mkuu umewahi kuota?
so wakazini na wanadamu sababu waliona mabinti za wanadamu ni njema kwao wakazaa nao!!! kitabu cha mwanzo utaipata hii! na walikuwa na majina yao kabisaaa!! nakumbuka mmojawao aliitwa Semjaza!!
Asante sana. Jambo moja niongezee, ukisema kuna Mungu wa kweli na Mungu wa uongo, maana yake kuna Mungu zaidi ya mmoja. Neno Mungu limetoka sumerian, maandiko ya vitabu vitakatifu source yake ni sumerian, na wenyewe waliabudu miungu. Na kama Mungu aliwatuma hao malaika (gods) kuja duniani huende hawakumkta mwanadamu kama huyu leo/wa sasa, labda walikuwepo binadamu wengine tofauti kabisa na sisi homo sapiens wa leo, kwahiyo hao miungu walipofika duniani wakazaa na hao viumbe watu waliowakuta duniani na ikapelekea kutokea kwa homo sapiens binadamu wa sasa. Kwa nadharia hii itakuwa ni wazi kwamba tablets kutoka sumerian zitakuwa sahihi kusema tumetokana/tumetengenezwa na Annunaki ambao ni moja wapo wa hao Miungu uliowasema.Hakuna kitu rahisi sana, kama kumjua Mungu wa kweli, tena ukimtaka utamjua tu! ila sasa ni udumu kwa sara na Maombi!! kukwambia tu kwa mdomo wangu na kwa kupitia imani yangu ni ngumu kuelewa ndg!
Fikiria tu kuna watu hawakumwamini Yesu miaka hiyo, mpaka leo watu wengine wanampinga bado!! ni mpaka ajifunue kwako na Biblia inasema ivi imani si Mali ya kila mtu!
Yeye ataona na kutambua imani ya moyo wako!! wala hachelewi ... kumbuka kuna wachungaji kila kona ya Dunia hii wanahubiri usiku na mchana lkn bado watu hawajui uwepo wake!
Maandiko yanasema siyo kila aniitae Bwana bwana ataingia ktk ufalme wa mbinguni kwa maana kuwa kuna watu hawataingia huko japo leo ni mapadre, wachungaji hatare! hekima ya Mungu atakupa yeye ukimtafuta kwa bidii!
Haya mambo yapo sana ndugu, sema ndio hivyo stori zake hazivumi sana. Na hilo kabila Dogon civilization yao chimbuko lake ni sumerian, ukitaka kupata taarifa nyingi za ukweli kuhusu sumerian, Dagon ni moja wapo ya kabila lenye rekodi mbali mbali kutoka sumerian.Nina rafiki yangu wa Kike Raia wa South Africa, majuzi kwenye Mazungumzo yetu, akanambia anaomba nimsindikize nchi ya Mali, nikamwambia Mali si salama sana, anataka kwenda kufanya nini...!?
Akanambia anataka kwenda kuwatembelea kabila la Dogon, kuna vitu anataka kwenda kujifunza....!
Alipozungumzia Dogon nikakumbuka hii mada, nikakumbuka kuna mdau kazungumzia kwa uchache kuhusu Dogon tribe, nika share na yeye kuhusu comment ya mdau.... Akanambia hiyo ndo sababu anataka kwenda Mali...!
Nikaanza kumweleza kuhusu huu Mjadala na baadhi ya michango ya wadau, kuna kitu akanambia.....!
Anasema miaka kadhaa nyuma alikua akienda Kazini asubuhi saa 1, amepanda kwenye Taxi, anasema ghafla Redio iliyokua inapiga mziki ikaanza kutoa sauti zilizovurugika, kama Mtu akiwa anatafuta channel, anasema alipotizama nje, akaona Chombo kikubwa sana Angani, kikiwa kinatembea Chini chini, anasema ni kikubwa kama Ukubwa wa Uwanja wa Mpira, akataka kuongea akaona hawezi, kama kashikwa bumbuazi, baada ya muda kile chombo kikapotea, akajaribu kumuuliza abiria mwenzake jirani kama aliona kile alichokiona, akasema hakuona chochote.....!!!
Ndiyo watarudi na mimi nshasema humu. Kwahiyo wazungu na wa Asia wameisha hukumiwa milele na Mungu ila weusi bado?. Kwahiyo Mungu alimuumba mtu mweusi tu?. Hapa ndipo vitabu vitakatifu vinapo onyesha uwalakini sasa.Ukisoma kitabu cha Enoko/The book of Enock kwa umakini utaanza kupata majibu ya baadhi ya maswali ambayo uko nyuma yalikuwa hayana majibu hasa kwa jamii za watu weus/Uzao harisi,(nimetumia watu weusi ili niweze kueleweka zaidi)
Kuna mdau uko nyuma aligusia kwanini jamii zote hapa Duniani, Wazungu, Wahindi, Waarabu, Wachina, wanamchukia sana watu weusi.
Hizi chuki hazijaanza leo, ni tangu enzi nyingi, Ukisoma kitabu cha Enoko kinaelezea jinsi Watchers/Anunaki/Malaika walio hasi, Walivyo watamani Binti za Watu/wanawake, na wakazaa nao, Hawa watchers wakawafundisha watu siri za mbinguni, ambazo hawakupasa kuzitoa kwa watu, kwani zingeleta maangamizi kwa watu.
kikatokea kizazi cha Majitu/Giants/Wanefili. Hichi kizazi cha Wanefili ndicho kilikuwa kizazi chenye sifa enzi izo. Yalikuwa majitu makubwa yenye miili ya kutisha, yenye akili. Haya Majitu yakaanza kuwatumikisha watu wa asili wa Dunia hii. Yakaanza kuingiliana kimwili na wanyama, Ndege, na samaki, apa ndio tukatokea kizazi hybrid, nusu mnyama nusu binadamu, samaki mtu, nusu nyoka nusu binadamu. nk
Baadaye hichi kizazi cha Majitu kilikuja kuondolewa kipindi cha gharika, ila kuna yaliyopona, mfano Goliati, Ogu, nk, pia kuna yaliyo kimbilia kwenye mapango ardhini, na miji ya ardhini./Under ground cities
Sasa zile roho za haya majitu, yaliyo kufa kipindi cha Gharika, kutokana na kitabu cha enoko ndio roho zinazotesa watu kwa kuwaingilia kama mapepo.
Pia kuna Roho zinazo reincarnate/kuzaliwa upya kupitia kwa Binadamu wasio na NAFSI, apa naongelea jamii nyingi za watu wa Ulaya na Asia, Wengi mmesha wahi kuzisikia na kuziona hasa kwa jamii za wahindi kupitia Movie zao. Mtu anakufa baadae anazaliwa tena.
Unapo ona jamii za watu wa Magharibi na Asia zinawatendea watu weusi unyama/Utumwa/Chuki, ni zile roho za Majitu za enzi ya Gharika zinakuja kulipa kisasi kwa kizazi cha watu weus, kwamba jamii ya watu weusi ndio walisababisha wao wakapata Ukumu ya milele, roho zao zikafungwa Kuzimu, na wakaondolowa uwezo wa kuishi milele.
Wale malaika waasi/Annunaki/ wengine wakiongozwa na Kiongozi wao Semyaza, wao walifungwa kwa generetion 7, watafiti wanadai walifungwa kwenye Bara la Antarctica, ndio hao wanashirikiana na jamii za watu wa Magharibi na Asia (Vizazi vya watchers) kuwapa teknolojia mbali mbali unazoziona apa Duniani.
Hawa watchers wanajiandaa kurudi Duniani, kuendeleza utawala wao(New World Order), sasa ivi wana wanandaa watu kisaikolojia kupitia Holly Hood/ Television na vyombo vya Habari, mambo ya Alliens/UFO kipindi hiki yameshika kasi tofauti na miaka ya nyuma.