Another big blow to CoW (Kenya): Uganda prefers route through Tanzania for her oil exports

msemakweli Nyie naona hata nani awe rais wenu, bado hampo tayari kwa masuala ya biashara, mnapenda kuwa personal sana na kubeba visasi na majungu wakati ulimwengu wa sasa hauna muda na hayo. Hii ifahamike wanachofanya Waganda ni sahihi, put all options on the table, nothing personal, biashara haina undugu wala udada.

Ni jambo bora kwa wao kutathmini ni route ipi nzuri kwao, hivyo ni jukumu la Tanzania na Kenya kila mmoja kujinadi kama ndiye sahihi. Sisi hatubebi mambo kama haya kimajungu majungu kama nyie, hatuwezi lalamika kama jinsi mngefanya nyie, tunarudi kwenye drawing board na kuangalia jinsi gani ya kujaribu kuwashawishi Waganda upya. Na ikishindikana, basi kila mtu ana riziki yake kutoka kwa Mola.
It's just a waste of time dealing with Tanzanian government, they normally rush to sign Mou and never fulfil there promise,hopefully everything will change when Ukawa wins GE.
 
China is doing well with its one communist party, so will tz.
Halafu sasa hivi ukawa hawataweza kupata, jiandae kwa mfadhaiko.
 
Sikiliza ndugu, suluhu ya matatizo yao sio ccm pekee na hilo wanajua, hakuna chama kitakutatulia matatizo yako bali kufanya kazi pekee, serikali itajitahidi kukupa usalama na kumrahisishia mwananchi maisha ahueni.
Ccm itashinda this time, si kwamba watu ni wajinga, la hasha.
 
Mkuu, mabadiliko yanahitajika, Kenya tuliona mabadiliko pindi tulipobwaga KANU chini, usiwadanganye wenzako.
 
Mkuu ni kweli tunatoka mabadiliko lakini kwa chama kipi Mkuu?
 
Hii scenario haifanani na Kenya ndugu, huku upinzani umeshikiliwa na fisadi papa. Upinzani upo kwenye defensive side, ushasikia upinzani unadefend?
Hatuipendi ccm imeoza lkn upinzani umeoza zaidi, hawajajipanga bado, bora lesser devil, ccm atabaki madarakani, rafiki wa odinga atashinda.
 
Sikiliza ndugu, suluhu ya matatizo yao sio ccm pekee na hilo wanajua, hakuna chama kitakutatulia matatizo yako bali kufanya kazi pekee, serikali itajitahidi kukupa usalama na kumrahisishia mwananchi maisha ahueni.
Ccm itashinda this time, si kwamba watu ni wajinga, la hasha.
Wewe hujui hata shughuli za serikali, na hujui namna ambavyo serikali inaweza ikasababisha watu wakakosa maendeleo pamoja na kwamba wanafanya kazi....

Kuna haja ya Lowassa kuwekeza sana kwenye Elimu, maana unatia aibu kwa kutoelewa mambo ya msingi....

CCM inashabikiwa sana na wanaofaidika na mfumo wake, waliokosa kuona nuru, ambao hawajasafiri nchi za nje, lakini zaidi ni wale wasio na elimu au uelewa wa mambo...eti mtu anapenda CCM kwa sababu ya Diamond na Ali Kiba....ukimuuliza CCM imeahidi nini, hajui.....eti nchi itakosa amani CCM wakiondoka madarakani....huoni jinsi ambavyo CCM walihakikisha wananchi wanakuwa wajinga ili waendelee kuichagua....
 
China is doing well with its one communist party, so will tz.
Halafu sasa hivi ukawa hawataweza kupata, jiandae kwa mfadhaiko.
Huku tena unataja serikali ya kikomunisti ya China....ukisema komunisti, kwani Tanzania ni Komunisti? Umesahau historia kilichotokea mwaka 1992....Haya mawazo ya Magufuli yanaingia kwenye akili za wale wasio na uelewa wa mambo....

Huko China wala rushwa na wauza madawa ya kulevya wananyongwa....ukisema upitishe hukumu ya aina hiyo kwenye Chama cha Mapinduzi nani atabaki bila kunyongwa???

Magufuli anawaambia CCM ikitoka madarakani nchi itakuwa kama Libya, Tunisia na Misri na wewe mwanaume mzima unamshangilia kwamba mgombea kaongea kitu cha maana.....
 
Wewe unaetaka kuongozwa na fisadi huwezi nieleza kitu mimi, hujui kitu.
Kwa iyo wewe unataka Lowasa awe raisi, u must be sick. Bora lesser devil. He's in the list of shame, Magufuli hayupo, period. Ccm watashinda october, hutaki hama nchi.
 
Tatizo unaangalia mtu mmoja, mimi naangalia Timu nzima kwa sababu Rais hafanyi kazi mwenyewe anaunda Team....

Mfano Magufuli anamnadi Chenge na Tibaijuka wakati ni mafisadi, inaonyesha atafanya kazi na mafisadi....

Waliopo kwenye list of shame wanampigia kampeni Magufuli, na unafurahia na kushangilia, hiyo mahakama anayofikiria kuunda ataweza kuwapeleka mafisadi anaozunguka nao kwenye Timu ya kampeni?

Hata Zitto Kabwe kasema CCM imeoza, haiwezi kubadilika hata akija Malaika
http://www.mpekuzihuru.com/2015/09/zitto-kabwe-ccm-imeozahaiwezi.html?m=1

yero njoo umsikilize mfuasi wa Vasco da Gama
 
Last edited by a moderator:
Jack Daniel's achana na hilo lipupunguani Hoshea ,hilo ni gamba halijielewi, ni kama kupe hivi, vinamg'ng'ania ng'ombe akiwa mzima, akienda machinjoni hadi anachinjwa kupe bado yupo tuu, hadi ngozi inaanikwa, yaan kupe anakuja kutaharuki pale ngozi inapoanza kukauka na jua.

Na watakaohama nchi ni wengi safari hii wakiwemo Makonda na Nape na wafuasi wao.
 
Last edited by a moderator:
Wewe unaetaka kuongozwa na fisadi huwezi nieleza kitu mimi, hujui kitu.
Kwa iyo wewe unataka Lowasa awe raisi, u must be sick. Bora lesser devil. He's in the list of shame, Magufuli hayupo, period. Ccm watashinda october, hutaki hama nchi.

Wewe gamba jiandae kuhama nchi na hela na mali za marehemu Gadaffi anazowagawia Membe ili mumtukane Lowassa mtakuja kuzirudisha kwa wananchi wa Libya.

Lowassa ndio Rais wako hutaki kajinyonge, Kama unampenda Magufuli kanywe nae chai, hii nchi hamna anayehama, watahama akina Nape na Makonda, wao wana sehemu za kwenda, wewe maskini na lofa huna pa kwenda. Itabidi ukubaliane na hali halisi, hutaki kale malimao.

Hii thread haihusu mambo ya siasa za Tanzania, rudi kule kwenye jukwaa la siasa, kenge wewe.
 
Ndio maana nakwambia hujui kitu, Magufuli hakumnadi chenge, wala hata hakumpa ilani ya chama kama anavofanyia wabunge wengine. Tafuta threads kuhusu ziara ya magufuli kwa chenge urudi kuedit hii kitu umeandika hapa.
Wewe timu ya ccm ndio unaitilia shaka vipi timu ya friends of lowasa na mafisadi rostam, hao ndio unataka watutawale? Pole mzee jiandae na maumivu october.
 
Wewe hujui hata shughuli za serikali, na hujui namna ambavyo serikali inaweza ikasababisha watu wakakosa maendeleo pamoja na kwamba wanafanya kazi....

Kuna haja ya Lowassa kuwekeza sana kwenye Elimu, maana unatia aibu kwa kutoelewa mambo ya msingi....

CCM inashabikiwa sana na wanaofaidika na mfumo wake, waliokosa kuona nuru, ambao hawajasafiri nchi za nje, lakini zaidi ni wale wasio na elimu au uelewa wa mambo...eti mtu anapenda CCM kwa sababu ya Diamond na Ali Kiba....ukimuuliza CCM imeahidi nini, hajui.....eti nchi itakosa amani CCM wakiondoka madarakani....huoni jinsi ambavyo CCM walihakikisha wananchi wanakuwa wajinga ili waendelee kuichagua....

Hapa swala si diamond wala Ali kiba ni swala ambalo watanzania wamelielewa kwa Ccm na kuhusu elimu ukisoma bila kufanya kazi ndo kuna leta maendeleo Ccm wamezungumzia elimu viwanda na namna watakavyo weza kuyatekeleza hayo na hayo mambo ya ukilitimba kutaka MTU aambatane nawe eti tuu kw sbb wew unahis umetimia kifikra si sawa swala la amani ni la kuliombea hata kama ccm IPO madarakani na si swala la kuzungumzia et ikitoka Ccm na amani inatoweka ilo labda na kulingana na mienendo yenu
 
Maskini ni hizo fikra zako jombaa, ndio maana Mkapa akawaita wapumbavu na malofa. Huwa mnanifurahisha sana wafa maji mnavotapatapa.
Mkafuge ng'ombe baada ya uchaguzi, msituletee balaa, hatumtaki fisadi.
 
Kwa jinsi ulivyoandika, umeunganisha maneno yote kama mtoto wa la saba...sijakuelewa kabisa unachozungumza, rudia kuandika vizuri...kumbuka kuweka nukta, koma, alama zingine na kutenganisha aya...haya ndio matatizo ya elimu ya shule za kata....
 
Kwa jinsi ulivyoandika, umeunganisha maneno yote kama mtoto wa la saba...sijakuelewa kabisa unachozungumza, rudia kuandika vizuri...kumbuka kuweka nukta, koma na kutenganisha aya...haya ndio matatizo ya elimu ya shule za kata....

Hehehehe!! umefanya nimecheka kweli, yaani wewe mpuzi aisei.... wacha kuwa na Ukenya wa kiaina.
 
Ndio maana nakwambia hujui kitu, Magufuli hakumnadi chenge, wala hata hakumpa ilani ya chama kama anavofanyia wabunge wengine. Tafuta threads kuhusu ziara ya magufuli kwa chenge urudi kuedit hii kitu umeandika hapa.
Wewe timu ya ccm ndio unaitilia shaka vipi timu ya friends of lowasa na mafisadi rostam, hao ndio unataka watutawale? Pole mzee jiandae na maumivu october.
Maskini ni hizo fikra zako jombaa, ndio maana Mkapa akawaita wapumbavu na malofa. Huwa mnanifurahisha sana wafa maji mnavotapatapa.
Mkafuge ng'ombe baada ya uchaguzi, msituletee balaa, hatumtaki fisadi.
Wewe gamba nimeshakwambia kuna jukwaa la siasa hapa JF, hamna kipya ulichokiongea hapa, nyani kasoro mkia wewe.
 
Ndipo akili zenu bavicha zinapoishiaga, sasa tigo imetoka wapi hapa, mkishindwa hoja mnahamia matusi nani awakabidhi nchi, nyinyi bado ni wapumbavu na malofa.

Jukwaa jukwaa, mnaona sifa kujaza watu majukwaani, mnadhani mtashinda, toka lini wapumbavu na malofa wakapiga kura. Idiot.
 
Back
Top Bottom