Smatta
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 2,348
- 733
Ndipo akili zenu bavicha zinapoishiaga, sasa tigo imetoka wapi hapa, mkishindwa hoja mnahamia matusi nani awakabidhi nchi, nyinyi bado ni wapumbavu na malofa.
Jukwaa jukwaa, mnaona sifa kujaza watu majukwaani, mnadhani mtashinda, toka lini wapumbavu na malofa wakapiga kura. Idiot.
Mkuu nina swali kama outsider, CCM imekuwa madarakani zaidi ya nusu karne, imetoa sera kila baada ya miaka mitano inapotaka kurudi madarakani, wanatimiza zingine lakini nyingi hazitimizwi, swali langu ni, unaridhika na CCM wanavyo endesha nchi? Tanzania iko kimaendeleo mahali inapofaa kuwa? Hauoni kuna haja ya kujaribu chama nyingine uone kama kutakuwa na mabadiliko nchini? Wasipoleta maendeleo basi mtawatimua tu baada ya miaka mitano.
Mwai Kibaki na serikali yake walituonyesha kuwa nchi inaweza badilika, mafisadi walikuwa kwenye chama lakiini mabadiliko kabambe yalionekana. KANU ilikuwa na mafisadi walionyonya kila kitu na hakuna maendeleo waliotuletea, sera yao ilikuwa kuhubiri amani na wananchi wanateseka bila kazi wala miundo msingi, hivi sasa binafsi nimeona mabadiliko tangu tulipoitoa KANU madarakani. Naomba pia nyinyi mjaribu chama mbadala muone kama nchi haitabadilika.