Another BossLady in the House, Hodiii

Hahahahaa umenichekesha nimepiga picha babu wa watu ana mawazo tele hahahaah yupo anatuchora tu hapa akiwaza atuzukieje kwa mbwembwe zipi ili asiambiwe njoo pm
Mzee yupo mapumzikoni baada ya kutoka kifungoni, sijui wamemfanyia kitu gani huko gerezani maana anaonekana ameathirika kisaikolojia kabisa, kazi hataki kufanya, mafile yamelala mezani tu.
 
Hahahahaa umenichekesha nimepiga picha babu wa watu ana mawazo tele hahahaah yupo anatuchora tu hapa akiwaza atuzukieje kwa mbwembwe zipi ili asiambiwe njoo pm

Wanasema ukiona Kobe kainama ujue anatunga sheria, nadhani anaweka mikakati ya revenge kwa waliompeleka gerezani.

Asprin kuna file liko mezani kwako, lifanyie kazi.
 
Uzi huu mbona umejaa wenye uchu... Ngoja nisirudi nguma
 
Bosslady unakunywa supu ya kongoro,wewe itakua bosslady njaa kali sana
 
Daa unatafuta wa kulinda moyo wako kwa nn usiulinde tu mwenyew
 
Karibu Sana boss lady, Kabla sijaleta tongozo Langu huko PM tutajie Kwanza ID yako ya zamani ili tuliokutongoza tujue Kabisa kuwa tunaenda kufanya Paper two.
[emoji38] [emoji38] we jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…