Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Huyu jamaa sio kabisa jana ananikashifu kule kwenye uzi mwingine eti mimi ndio smart911 kitu ambacho sio..na nilikuwa najua ni KE kumbe ni ME
noomaa saana we jamaa
Huez kua mgeni humu alafu post yako kwanza ikawa hii... hii ni mwenyeji ila ni ID mpya tu!
Wasiwasi wangi ni kua unaeza kua mwanaume asee! Sio kwa fujo hizo za new id
uliona mbaliHahaahaa marahabaa jose
uliona mbali
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Punga ili watu watwangeSasa Janaume na mimbupu inaning'inia kujifanya demu hili iweje?
Hiyo inawezekana kabisa mkuuKwa hiyo mnataka kusema zile couple za humu pia ni id moja?
Cc zantel&bajaj
Vituko vingi sana,
Otieno ni hatari sana ujue.
Otieno ni hatari sana ujue.
Sijaelewa...shosti wapi??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mara nyingi ni matatizo ya kisaikolojia. Kutandikwa sana utotoni, inferiority complex, kujihisi hupendwi na ishu kama hizo.Sasa Janaume na mimbupu inaning'inia kujifanya demu hili iweje?