Another BossLady in the House, Hodiii

Karibu ukumbini

Napenda kujua kwanini umerusha picha zako!? Ila umenitamanisha nirushe zangu pia maana wanione tu kwa jinsi nilivyo mpole sana humu.



hahahaha rushaaaaaaa! wenye sura zao na shape zao! mtu km mie na umichelini huu naanzaje kwanza ! teh teh kwanza internet itakata masaa 8! ikirufi inakuwa down siku 3!hatari sana
 
Wanaume wa humu kweli viwembe yaani hata kabla Hamjamsoma vizuri mnajikanyaga kanyaga??
 
Wanyamwezi wanawezana wenyewe kwa wenyewe "dont play at home"
 
Hivi mdogo wangu umeanza lini ukachero.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…