Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Mi naomba kuwa mchepuko wako maana huwezi kuwa uko single tusidanganyane hapa
 
Habari yako BOSS LADY....Shikamoo...!!

Mimi naomba unipe kazi ya NDANI...
Houseboy...utafurahi na ROHO yako.

Kama nafasi ipo naomba unifuate INBOX, PM...
 
Hahahahahaa Shemeji naona unataka nikuite Yale majina ya puani teh teh teh
Haha hayo majina ya pua ni raha yake yanaendana na madikodiko ya kesho bwana. Haya yetu sijui Elly nani sijui Emmanuel acha niyapuuze kwa hizi siku mbili
 
Haha hayo majina ya pua ni raha yake yanaendana na madikodiko ya kesho bwana. Haya yetu sijui Elly nani sijui Emmanuel acha niyapuuze kwa hizi siku mbili
Shem ntaku PM
 
Back
Top Bottom