Another BossLady in the House, Hodiii

Another BossLady in the House, Hodiii

Popote ulipo agiza kinywaji ukipendacho nitalipa mimi

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mkuu naomba unitumie changu kwa JF pesa, mimi ni mpenzi wa mbege kwa mama naniliuu hapa nitaenda kuvuta Chipuku moja tu nakuwa chakari kabisa
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
5fb80e04b3caaf87ee0d7fab5ba1c708.jpg
 
Kuna watu watano jf wana jumla ya ID zisizopungua 37.

Yaani ni sawa na mtu anaview Seduce me mara 100 alafu views zinaonekana nyingi

''Aut Vincere Aut Mori''
TeamMond ktk ubora wako

from Katesh using Siemens C55
 
Karibu sana Mkuu.

Kweli, you are the boss Lady.

Umepata mapokeo ya Kishindo. Thread yako imechangiwa zaidi, hiyo inatofautisha na wengine makapuku.

Kila la kheri katika Harakati zako JF. Wasalimie wanafunzi.
aisee

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Back
Top Bottom