Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Case closed! ✍️Class haibadiriki ila perfomance inakuja nakupotea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Case closed! ✍️Class haibadiriki ila perfomance inakuja nakupotea
Class bila performance ni ujinga tuClass haibadiriki ila perfomance inakuja nakupotea
Huko mali, Assist ya mayele ilitoka kwa nani kama sio Key mwenyewNaungana na wewe kabisa, huyu Aziz Ki simuelewi kabisa. Hata mechi ya kule mali alivyoingia akaharibu kabisa uchezaji wa timu. Kama unavyosema kupoteza mipira hovyo, pasi mkaa. Anyway tuendelee kumpa muda.
Hizi ndio mada zako
Ulianza kupenda timu kabla ya mpira hili ndio tatizoHizi ndio mada zako
kwa hiyo kwa sasa ni downs za Aziz Ki, au sio?Hata Nondo Bakary si mlisema nyie hamna kitu ss anawaziba midomo.
Mchezaji yeyote wa football lzm apitie ups and down
Na Nabi naye kumbe ni mbumbumbuAjabu wanaoumia ni Mbumbumbu
kwa hiyo kwa sasa ni downs za Aziz Ki, au sio?
We jamaa ni mshamba kweli, unafikiri kila siku itakuwa njema kazin, huna jipya nenda kalale tu.Nimeshamuongelea mara kadhaa siku za nyuma na nisingependa kurudia saana! Kuna watu hawakunielewa kabisa nadhani jana Nabi kawaonyesha panapovuja.
Kwa kifupi Aziz amebaki kuwa mchezaji wa "moment" yaani kupiga mijishuti tu basi zaidi ya hapo hana maajabu tena. Namba 10 gani unapoteza takriban kila mpira?
Tulitegemea baada ya Fei kuondoka adhihirishe ubora wake lakini kashindwa. Nawashauri Yanga wafanye mpango kumchukua Gomez wa Singida BigStars kama replacement ya Fei ila sio huyu jamaa kupwa na kujaa. Im very disappointed with his performance. Anapoteza sana mpira, pasi mkaa nyingi na hasaidii wenzake kukaba anazurula tu.
Na sio kawaida kwa kocha kumsema negative mchezaji public kama vileWengi watamtetea kwasababu ya ushindi walioupata jana,,but i bealive Yanga angepoteza jana, huu uzi ungejaa kila aina ya povu kumuhusu Aziz Ki.