Another disappointment performance from Aziz Ki

Kwenye nyumba za ibada inaitwa sadaka, msibani inaitwa rambirambi

Ni jina tu linabadilika ila kitu ni kile kile (pesa)

Kwa Kibu ni ubovu ila kwa Azizi Ki ni ups and down
Hata hivyo huwezi kumfanisha master key na huyo bobmarley.
 
Na sio kawaida kwa kocha kumsema negative mchezaji public kama vile

Mara nyingi mchezaji akifanya vibaya unaweza ukaona kocha anamsitiri mbele ya kamera halafu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo anamchana tena akimuwakia

Sasa ukiona Nabi hilo limemshinda kuvumilia ndio ujue kuwa situation aliyofikia sio bad bali ni worst
Acha uongo wewe. unajua ni mara ngapi ten hag kamchana Ronaldo kwenye interview?
 
Ten hang huyo huyo alimfichia madhaifu Fernandez

Kocha anapoona situation imekuwa critical anakosa uvumilivu and that's what happened to Nabi
 
Na sio kawaida kwa kocha kumsema negative mchezaji public kama vile

Mara nyingi mchezaji akifanya vibaya unaweza ukaona kocha anamsitiri mbele ya kamera halafu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo anamchana tena akimuwakia

Sasa ukiona Nabi hilo limemshinda kuvumilia ndio ujue kuwa situation aliyofikia sio bad bali ni worst
Exactly.
 
Labda misumari
Hapana,wale jamaa Bamako wanapress haswa,nilikua na hofu na Hilo tangu awali,yanga waliiga pressing ya wale jamaa kipindi Cha pili,ikasaidia,na Aziz anshindwa kucheza mpira wa chapuchapu na wenzako sababu hawapo huko,Mara kadhaa hulalama kwa nini hawafungui awape pasi au hawampi mpira haraka
 
Yeah, Kibu hana mikimbio
Kibu hajapata mwalimu sahihi,anacheza kwa shinikizo,kibu alipaswa kufundishwa na nabi,ana kitu yule dogo hapo mi yanga,stars kule namtarajia yeye na mzize
 
Watanzania Wengi Hatujui Mpira, Na Mwenye Huu Uzi Ni Mmojawapo Kati Ya Wengi Wasiojua Mpira.
 
Nimeshamuongelea mara kadhaa siku za nyuma na nisingependa kurudia saana! Kuna watu hawakunielewa kabisa nadhani jana Nabi kawaonyesha panapovuja.

Kwa kifupi Aziz amebaki kuwa mchezaji wa "moment" yaani kupiga mijishuti tu basi zaidi ya hapo hana maajabu tena. Namba 10 gani unapoteza takriban kila mpira?

Tulitegemea baada ya Fei kuondoka adhihirishe ubora wake lakini kashindwa. Nawashauri Yanga wafanye mpango kumchukua Gomez wa Singida BigStars kama replacement ya Fei ila sio huyu jamaa kupwa na kujaa. Im very disappointed with his performance. Anapoteza sana mpira, pasi mkaa nyingi na hasaidii wenzake kukaba anazurula tu.
Kiingereza Cha mchongo
 
Atakuwa kapigwa misumari
 
Kibu hajapata mwalimu sahihi,anacheza kwa shinikizo,kibu alipaswa kufundishwa na nabi,ana kitu yule dogo hapo mi yanga,stars kule namtarajia yeye na mzize
Kambole alikuwa anahudumu kwenye timu yenye kocha gani?
 
Back
Top Bottom