ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Anawapa mnachotaka kusikiaNa Nabi naye kumbe ni mbumbumbu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anawapa mnachotaka kusikiaNa Nabi naye kumbe ni mbumbumbu
Mbona off point bro!?..ubongo wako una shida gani!?Kambole alikuwa anahudumu kwenye timu yenye kocha gani?
Kivipi!?...alitakiwa aandike 'another disappointing performance na si hivyo alivyoandikaSasa hiki mbona kama chake huyo jamaa uliyedai ana "kiingereza cha mchongo"!
Akisema Nabi inakuwa fresh na usemi wake mnautolea tafsiri nyingine "anawapa nachotaka kusikia"Anawapa mnachotaka kusikia
Kasema game zote au ya Jana?Akisema Nabi inakuwa fresh na usemi wake mnautolea tafsiri nyingine "anawapa nachotaka kusikia"
Kwa maana hiyo bado mind set yako inapingana na Nabi kuwa Azizi Ki anacheza vizuri na kile alichokisema ni utani
Mahaba ya wapi haya?
Sio off point, Kibu amekosa mwalimu mzuri kama Nabi ili awe na performance nzuriMbona off point bro!?..ubongo wako una shida gani!?
Wewe umesema hujawahi kuona kocha akimponda mchezaji wake ndio nimekupa mfano.Ten hang huyo huyo alimfichia madhaifu Fernandez
Kocha anapoona situation imekuwa critical anakosa uvumilivu and that's what happened to Nabi
Shahidi manula.Form is temporary but class is permanent
Azizi ki is high class player
Sio game zote amekuwa akiulizwa maswaliKasema game zote au ya Jana?
Nimesema "sio kawaida" sijasema sijawahi kuonaWewe umesema hujawahi kuona kocha akimponda mchezaji wake ndio nimekupa mfano.
Sentensi 'ana kitu yule dogo' hukuiona,au unajlhisi Haina maana!?Sio off point, Kibu amekosa mwalimu mzuri kama Nabi ili awe na performance nzuri
Ili hilo liwe kweli niambie Kambole alikuwa anacheza Yanga ambayo kocha alikuwa nani?
Kwa hiyo Kambole, Bigirimana hawana kitu?Sentensi 'ana kitu yule dogo' hukuiona,au unajlhisi Haina maana!?
Sio kawaida' kiupande wako labda.Nimesema "sio kawaida" sijasema sijawahi kuona
Hata wewe hauwakilishi maoni ya kila mtu ni POV yako tuSio kawaida' kiupande wako labda.
Washamaliza career zao,wazee...hawakisi 38-42Kwa hiyo Kambole, Bigirimana hawana kitu?
Kambole alikuwa anahudumu kwenye timu yenye kocha gani?
Umeitoa wap hii kauli yako?Class bila performance ni ujinga tu
Kibu dee na azizi key siku hizi hawana tofauti lao moja [emoji3]Sasa mbona mnamsema Kibu Deee??
Acheni ngenga