Another disappointment performance from Aziz Ki

Kwenye nyumba za ibada inaitwa sadaka, msibani inaitwa rambirambi

Ni jina tu linabadilika ila kitu ni kile kile (pesa)

Kwa Kibu ni ubovu ila kwa Azizi Ki ni ups and down
Hata hivyo huwezi kumfanisha master key na huyo bobmarley.
 
Acha uongo wewe. unajua ni mara ngapi ten hag kamchana Ronaldo kwenye interview?
 
Acha uongo wewe. unajua ni mara ngapi ten hag kamchana Ronaldo kwenye interview?
Ten hang huyo huyo alimfichia madhaifu Fernandez

Kocha anapoona situation imekuwa critical anakosa uvumilivu and that's what happened to Nabi
 
Exactly.
 
Labda misumari
Hapana,wale jamaa Bamako wanapress haswa,nilikua na hofu na Hilo tangu awali,yanga waliiga pressing ya wale jamaa kipindi Cha pili,ikasaidia,na Aziz anshindwa kucheza mpira wa chapuchapu na wenzako sababu hawapo huko,Mara kadhaa hulalama kwa nini hawafungui awape pasi au hawampi mpira haraka
 
Yeah, Kibu hana mikimbio
Kibu hajapata mwalimu sahihi,anacheza kwa shinikizo,kibu alipaswa kufundishwa na nabi,ana kitu yule dogo hapo mi yanga,stars kule namtarajia yeye na mzize
 
Watanzania Wengi Hatujui Mpira, Na Mwenye Huu Uzi Ni Mmojawapo Kati Ya Wengi Wasiojua Mpira.
 
Kiingereza Cha mchongo
 
Atakuwa kapigwa misumari
 
Kibu hajapata mwalimu sahihi,anacheza kwa shinikizo,kibu alipaswa kufundishwa na nabi,ana kitu yule dogo hapo mi yanga,stars kule namtarajia yeye na mzize
Kambole alikuwa anahudumu kwenye timu yenye kocha gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…