Another motivating story from Nayce Moshi

Ni kweli amekuwa maarufu mtandaoni kutokana na kazi yake Tilisho. Lakini kwa nguvu aliyonayo sasa mtandaoni Tilisho hawawezi mudu kumlipa huyo.
Kwenye kumudu kumlipa sikubaliani na wewe.. kwa maana Tilisho sio kampuni ya mabasi inayojitafuta
 
Mwisho wa maandishi yake ameandika asante kwa gift na hajataka kuitaja,,,,,asilimia kubwa ya masecretary maofisini ni pisi kali ushawai jiuliza kwanini wadada wenye sura personal hawapogo kwenye hizo nafasi???dada zetu wanapitia mengi sana kufika wanapofika,,,zuchu kaenda kama msanii wcb ghafla kageuzwa mboga ya mdosi .
 
Nimebahatika kupanda basi ambalo alikua UTINGO binti anapiga kazi na Wala hajistukii na kazi yake. Bravo [emoji122] kwa kua promoted na kampuni.



KAZI ni kipimo cha utu
 
✍️✍️✍️ Sio kwel kwamba yeye ni Bora Zaid ya wengn Bali tuseme tu bahati yake imekubwa kubwa kuliko wengne......ukumbuke kuna watu wenye nguvu ya ushawishi kuliko yeye lkn connection ya kujuana ikazima ndoto ya aliyestahili hiyo nafasi.............mtoa post umekosea Sana
 
Naku uliza hivi 👇

Unathibitisha vipi kwamba wanawake wengine hawafanikiwi kwa vile hawawi strategic?

Kwamba kilicho mfanya huyo Nayce Moshi kufanikiwa, Ni yeye kuwa strategic person?
Yes, kupitia yeye hata naona wadada wengi makondkta nao wanajitokeza. Unajua kazi hii ilikuwa inadharaulika sana ndio maana wanawake wengi walikuwa wanaona aibu kujitangaza kuwa wao ni makondakta. Kuna yule kijana anajiita mhasibu wa daladala, sasa hivi anakula shavu za matangazo. Nimeona jana kapiga picha na kina Nacy akiwa kwenye gari ya tilisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…