Ansante sana baba @mshana jr

Ila uache uchawi ufike mbinguni [emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jr[emoji769]
 
Kumbe unajuaga kiswahili. Leo umenipunguzia tatizo la kusoma post yako bila kutumia dikshenare. chaliifrancisco akipita hapa atapata baraka sana
Nimecheka kama dakika moja nzima.
Naandikaga kiswahili tena kiswahili fasaha Asprin.

Sasa ukiona nimeandika kingereza huyo uliyem-mention chaliifrancisco ndio huwa anaandika mimi nampa tuu maneno kwa kiswahili.
 
Hahaha acha bana kumdanganya babu yangu ananifahamu asije siku kunipa kazi ya kuongea na wazungu nikaaibika bwana. 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…