Mengi yatajulikana. Mkutano ule uliandaliwa na Msigwa, kwa hivyo elements za ccm zilijitokezaAnsbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM, hivyo wakajisahau na kujikuta wanaimba wimbo waliouzoea.
Ansbert Ngurumo amesema ukumbi ulijaa watu ambao sio wana chadema, wala wapiga kura.
Mwenye uwezo wa kupandisha hiyo link tafadhali, ina madini mengi
View attachment 3177006
Huo wimbo ushakuwa common to everyone.Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM waliovalishwa nguo za Chadema, hivyo wakajisahau na kujikuta wanaimba wimbo waliouzoea.
Ansbert Ngurumo amesema ukumbi ulijaa watu ambao sio wana chadema, wala wapiga kura.
Mwenye uwezo wa kupandisha hiyo link tafadhali, ina madini mengi
View attachment 3177006
Yatajulikana tu, ni suala la mudaNi Mpumbavu tu anayeamini Lisu anafadhiliwa na CCM
Freeman Mbowe hajawahi kurudisha KADI ya CCM kama ambavyo Dr Slaa na Mzee Marando hawajawahi kurudisha KADI za CCM
Kinembe wewe bado mtoto mdogo 😄
Nilifuatilia hiyo speech ya Lissu mwanzo hadi mwisho,Walionzisha kuimba huo wimbo ni Wanachama na sio Lissu,Sasa kosa la Lissu ni lipi hapo?Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM waliovalishwa nguo za Chadema, hivyo wakajisahau na kujikuta wanaimba wimbo waliouzoea.
Ansbert Ngurumo amesema ukumbi ulijaa watu ambao sio wana chadema, wala wapiga kura.
Mwenye uwezo wa kupandisha hiyo link tafadhali, ina madini mengi
View attachment 3177006
Hivi ni kwanini siasa za ki Africa tuna kasumba ya kumuabudu mtu kwamba wenzake au wengine hawawezi kuongoza au taasisi haiwezi kuwepo bila mtu flani ala cha kushangaza huyu mwandishi naye anajiita msomi!!! upuuziAnsbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM waliovalishwa nguo za Chadema, hivyo wakajisahau na kujikuta wanaimba wimbo waliouzoea.
Ansbert Ngurumo amesema ukumbi ulijaa watu ambao sio wana chadema, wala wapiga kura.
Mwenye uwezo wa kupandisha hiyo link tafadhali, ina madini mengi
View attachment 3177006
Maigwa anamuendesha Lissu kama vile drone inavyoendeshwaNi Mpumbavu tu anayeamini Lisu anafadhiliwa na CCM
Freeman Mbowe hajawahi kurudisha KADI ya CCM kama ambavyo Dr Slaa na Mzee Marando hawajawahi kurudisha KADI za CCM
Kinembe wewe bado mtoto mdogo 😄
Wanachama walioletwa na MsigwaNilifuatilia hiyo speech ya Lissu mwanzo hadi mwisho,Walionzisha kuimba huo wimbo ni Wanachama na sio Lissu,Sasa kosa la Lissu ni lipi hapo?
Ki nini et😁Ni Mpumbavu tu anayeamini Lisu anafadhiliwa na CCM