chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Ansbert Ngurumo, moja ya magwiji wa habari na uchambuzi ameonyesha kuwa na mashaka kwamba kwa nini Lissu ameibuka na wimbo wa CCM katika kutangaza nia.
Mwandishi huyo amesema kwamba inawezekana mkutano wa Lissu ulijaa wana CCM waliovalishwa nguo za Chadema, hivyo wakajisahau na kujikuta wanaimba wimbo waliouzoea.
Ansbert Ngurumo amesema ukumbi ulijaa watu ambao sio wana chadema, wala wapiga kura.
Mwenye uwezo wa kupandisha hiyo link tafadhali, ina madini mengi