Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

UBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
Ha ha ha ha haaaaaaaa ... !!!
 
Rudi nyumbani ujenge nchi.....acha umbea na uzushi.....
Huyu Ngurumo ajengr nchi ipi. Lengo lake kubomoa sio kujenga. Ameshawishiwa aonekane mkimbizi na wengine wangefuata nyayo ila hawajajitokeza. Lissu nadhani anatafuta sababu naye awe mkimbizi pamoja na dereva wake. Mange naye yuko kwenye mpango. Watakuwa wanne je wataweza kushawishi ulimwengu kuwa TZ si salama eti inakimbiwa na wananchi wake kuhofia maisha yao? Leo anaongelea ya kufikirika kuhusu Making ujue nia yake nini ili kutimiza lengo kuifanya TZ iwe na watu wanaoitwa wakimhizi nchi geni?
 
Kama kweli kateleza kwa hili la makontena naomba tu asamehewe, hivi Mungu angetuhukumu kwa kila kosa nani angepona? sidhani kama sisi tulio wengi ni wasafi kuliko makonda, aliyesema uongo na aliyeua mtu wote sawa kwani aliyesema usiue na aliyesema usiseme uongo ni Mungu huyo huyo, samehe mara 7 sabini.
 
Kwa maana hii magereza yasiwepo?huwezi kukwepa kosa la jinai kwa kutumia maneno ya biblia!yakaisari yanatatuliwa kikaisari!
 
Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Inawezekana kama kuna sababu za kiusalama kama ushushushu, ugaid,lakin hizo ni kwa nchi zilizoendelea kama USA na RUSSIA, hawa akina ngurumo akili hazimo vema, hakuna sababu yeyote ya nchi kumkataa Makonda, pili hii siyo nguo kusema unajaribu isipokutosha unajaribu nyingine, yaan waulize kwamba jamani tuna Mtu huyo tumlete awe balozi,?? Alafu Tanzania isubiri majibu hahaha nimeamini Tanzania ni nchi ya watu wenye umaskini wa mawazo na ndo mtaji wa wajanja kupiga hela
 
Kama kweli kateleza kwa hili la makontena naomba tu asamehewe, hivi Mungu angetuhukumu kwa kila kosa nani angepona? sidhani kama sisi tulio wengi ni wasafi kuliko makonda, aliyesema uongo na aliyeua mtu wote sawa kwani aliyesema usiue na aliyesema usiseme uongo ni Mungu huyo huyo, samehe mara 7 sabini.
Kweli dada tusamehe saba mara sabini!?
Joka la makengeza asamehewe.
Ruge asamehewe.
Singh Seith asamehewe.
Mramba asamehewe.
Mgonja G. asamehewe.
Yona D. asamehewe.
Masamaki asamehewe .
Acacia/Barrick wasamehewe noah zetu.
Tusamehe 7x70 kwa wote waliofanya makosa kwani kama Mungu angetuhukumu kwa kila kosa,nani angepona!!?
 
Back
Top Bottom