SueIsmael
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 932
- 1,282
Ndio, wanaweza. Kuna namna mbalimbali za kukutaarifu kuwa hawajamkubali balozi mteuliwa.Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, wanaweza. Kuna namna mbalimbali za kukutaarifu kuwa hawajamkubali balozi mteuliwa.Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Yes, kama ana makando makando mengiHivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
hamjaelewa! mwenzenu anatafta asylum!Mmmh apo Ngurumo kafeli,bashite na ubalozi wapi na wapi.
Huyu tutabananae apa apa mpaka jiwe aondoke
wanatafta asylum sio awe balozi
Uchitema nchale..! Uchimecha nchale...! Patam hapo...!UBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
unajua akili za baba yake zinapoishia? could be possibleMmmh apo Ngurumo kafeli,bashite na ubalozi wapi na wapi.
Huyu tutabananae apa apa mpaka jiwe aondoke
Kwa hiyo ndani ya wiki baada ya hili sakata la makontena jina lake limeshapelekwa nchi zaidi ya moja wakalitafakari jina lale kisha wakalikataa NDANI ya wiki wakarudisha jibu kisha likatumwa tena nchi nyingine wakalikataa nao NDANI ya wiki. Ni kutumia akili ya kuzaliwq tu kutambua uongo na ujinga huu.Kila nchi ni lazima jina lipelekwe Kama kupropose kwa balozi tarajiwa mkuu Kama nchi husika anakopropoziwa kwenda ikimkataa basi hakuna jinsi ndo diplomasia ya nchi huwa inabidi wapropose mwingine mpaka waridhike .sina kumbukumbu nzuri ila nadhani kuna mmoja alikuwa Kenya nchi Fulani ikataka kutuletea tukagoma
Naona busara inatumika,katika utendaji wake kajijengea maadui wengi.Tuwe na akiba ya maneno,tukanyage kwa adabu ardhi ya muumba.
Mkuu jiwe alishamchoka DAB mda hadi anyanganywe ulinzi na msafara sio leoKwa hiyo ndani ya wiki baada ya hili sakata la makontena jina lake limeshapelekwa nchi zaidi ya moja wakalitafakari jina lale kisha wakalikataa NDANI ya wiki wakarudisha jibu kisha likatumwa tena nchi nyingine wakalikataa nao NDANI ya wiki. Ni kutumia akili ya kuzaliwq tu kutambua uongo na ujinga huu.
Kua uyaoneUBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
Inachukua muda gani baada ya nchi husika kupeleka jina na wao kurijadili kisha kuleta jibu kuwa wamemkataa?Ndio, wanaweza. Kuna namna mbalimbali za kukutaarifu kuwa hawajamkubali balozi mteuliwa.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Jina gani mkuuHukumbuki yule wa Zambia mwenye jina la Matusi alikataliwa Tanzania
Ilikuwa lini alimyang'anya huo ulinzi na ulinzi upi huo? Ulinzi wa U-RC au?Mkuu jiwe alishamchoka DAB mda hadi anyanganywe ulinzi na msafara sio leo
Kwaiyo gesi ya mtwara haiendi Tena dar ?? Yale mabomba yamechimbiwa chini yanapeleka NiniHata wakati wa mjadala wa gesi ya Mtwara mlikuwa mnasema hivo kwamba wapinzani siyo wazalendo na wazushi. Leo jiwe analialia tu kwamba gesi imechukuliwa na wakubwa.
Wewe sasa unaanza kufilisika kimawazo !UBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
Hiyo ipo na imetokea mara nyingi. Na nchi inayomkataa balozi mteule hailazimiki hata kutoa sababu.Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?