Ekuweme
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 3,520
- 3,962
Hata wewe unayajuaUliyajuaje mazito haya ya Waarabu kamanda!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata wewe unayajuaUliyajuaje mazito haya ya Waarabu kamanda!?
Uvamizi au kwajina ulilopewa muungano uishe , baadaye mnaweza kumweka balozi wa Tanganyika nchini ZanzibarC ampeleke Iraq, Syria au Afghanistan???.. Akikosa huko ampeleke hapo kwa ndugu zetu Somalia... Very simple
Msituaminishe kwa matango poriUBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
Wajanja wa ccmInawezekana kama kuna sababu za kiusalama kama ushushushu, ugaid,lakin hizo ni kwa nchi zilizoendelea kama USA na RUSSIA, hawa akina ngurumo akili hazimo vema, hakuna sababu yeyote ya nchi kumkataa Makonda, pili hii siyo nguo kusema unajaribu isipokutosha unajaribu nyingine, yaan waulize kwamba jamani tuna Mtu huyo tumlete awe balozi,?? Alafu Tanzania isubiri majibu hahaha nimeamini Tanzania ni nchi ya watu wenye umaskini wa mawazo na ndo mtaji wa wajanja kupiga hela
NdioHivi mfano raisi akitemteua balozi,nchi husika inaweza kumkataa?
Ww ulioko hapa unajenga nchi????
Ni hivii, kuna sheria na taratibu za Kidiplomasia. Ikichangiwa na mahusiano ya Nchi mbili husika.Sawa mkuu. Watu hawaelewi hayo mambo kwa sababu yanatokea hatua za mwanzo kabla ya kutangazwa. Nchi husika ikishakubali ndio inatangazwa ujio wa balozi mpya.
Balozi gay amewahi kukataliwa hapa kwetu. Utaratibu uko hivyo ndio maana ukiwakorofisha wanakutimua masaa 24. Nchi haikubali kumpokea mtu wasiomridhia.
Wewe ndio umeyaongelea humu JF, ningeyajua nisingekuuliza uliyotamka hayo!Hata wewe unayajua
Si uongo , ilitokea wakati wa mwinyi, jamaa kachaguliwa kuwa balozi kule Sweden, Alitokea mkimbizi kutoka Zanzibar anaishi Denmark akapinga Kwa sababu huyo jamaa aliteswa kule Dar na huyo aliyechaguliwa Balozi .Aliyeteuliwa Balozi alikuwa ni mmoja wa watu wasiojulikana.Acha UONGO Kamanda! Mungu anakuona.
Jamani tufanyie kazi fursa zilizopo Tanzania tupunguze tabia ya kujadili watu. Hivi mabalozi wote waliopo Tanzania wanajua Kiingereza au Kiswahili mpaka lugha iwe ni issue kwenye mtu kuwa balozi nje? Kama mimi sijui Kingereza si nitakuwa na mkalimani na nitakuwa nazungumza tuu Kiswahili kama wafanyavyo mabalozi wa mataifa yasiyozungumza kingerezaUBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
Huyo jamaa aloueteuliwa ni nani na ilikuwa mwaka gani?Si uongo , ilitokea wakati wa mwinyi, jamaa kachaguliwa kuwa balozi kule Sweden, Alitokea mkimbizi kutoka Zanzibar anaishi Denmark akapinga Kwa sababu huyo jamaa aliteswa kule Dar na huyo aliyechaguliwa Balozi .Aliyeteuliwa Balozi alikuwa ni mmoja wa watu wasiojulikana.
Tuachane na walioolewa tujadili ya kwetu wanaume wa kazi. Mwanaume anayekimbilia chumbani kwa mwanaume mwenzake lazima awe shoga. Kwa kweli tuache ushabiki Paul Makonda huwezi kumfananisha na Mtolewa mfano huyo anayeitwa Ngurumo cause ameenda kwa mwanaume kupata huduma ya kutunzwa.Huyu Ngurumo ajengr nchi ipi. Lengo lake kubomoa sio kujenga. Ameshawishiwa aonekane mkimbizi na wengine wangefuata nyayo ila hawajajitokeza. Lissu nadhani anatafuta sababu naye awe mkimbizi pamoja na dereva wake. Mange naye yuko kwenye mpango. Watakuwa wanne je wataweza kushawishi ulimwengu kuwa TZ si salama eti inakimbiwa na wananchi wake kuhofia maisha yao? Leo anaongelea ya kufikirika kuhusu Making ujue nia yake nini ili kutimiza lengo kuifanya TZ iwe na watu wanaoitwa wakimhizi nchi geni?
Ni hivii, kuna sheria na taratibu za Kidiplomasia. Ikichangiwa na mahusiano ya Nchi mbili husika.
Anapoteuliwa Balozi kuiwakilisha Tanzania Nchi nyingine, hiyo Nchi haina mamlaka ya kumkataa mpaka atakapokanyaga Nchini humo na kuvunja sheria za Nchi husika. Diplomasia sio masuala ya kisiasa kamanda...unapoizungumzia jaribu kuwa na upeo au uelewa mpana katika suala husika.
Asante.
Asante mkuu.Siandiki na wala sina utaratibu wa kuandika kitu nisichokijua. Kwakua hatubishani. Naomba niishie hapo mkuu.
===Ni hivii, kuna sheria na taratibu za Kidiplomasia. Ikichangiwa na mahusiano ya Nchi mbili husika.
Anapoteuliwa Balozi kuiwakilisha Tanzania Nchi nyingine, hiyo Nchi haina mamlaka ya kumkataa mpaka atakapokanyaga Nchini humo na kuvunja sheria za Nchi husika. Diplomasia sio masuala ya kisiasa kamanda...unapoizungumzia jaribu kuwa na upeo au uelewa mpana katika suala husika.
Asante.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]C ampeleke Iraq, Syria au Afghanistan???.. Akikosa huko ampeleke hapo kwa ndugu zetu Somalia... Very simple
Du kama hujui protocal za mabalozi usiongeeHivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Inamkataa. Ns hata sisi tumeshawahi kuwakataa.Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?