Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Kwa hiyo ndani ya wiki baada ya hili sakata la makontena jina lake limeshapelekwa nchi zaidi ya moja wakalitafakari jina lale kisha wakalikataa NDANI ya wiki wakarudisha jibu kisha likatumwa tena nchi nyingine wakalikataa nao NDANI ya wiki. Ni kutumia akili ya kuzaliwq tu kutambua uongo na ujinga huu.
Wewe bado unakumbuka barua kwa posta?
 
Yani nadhani DAB sasa ana hali mbaya, akitumbuliwa hana pa kuishi maana maadui wake ni wengi na wenye uwezo kumfanya watakavyo, sasa jiwe anajua hilo na laxma atumie busara nyingi, ila atambeba hadi lini maana bado miaka saba tu jiwe ataondoka!?
Hivi kufikia 2020 bado miaka saba?
 
Huyo jamaa aloueteuliwa ni nani na ilikuwa mwaka gani?
Tuache kuongelea haya mambo kama hatuna uelewa nayo kishabiki mkuu. Hii ni tabia hatari sana katika jamii.
Kuna sheria na taratibu za Kidiplomasia. Diplomasia sio Siasa kamanda!

Huyo jamaa alionyeshwa kwenye news ya TV ya Sweden anaitwa Hashil Seif anafanya kazi kwenye human rights, Aliyeteuliwa nimemsahau jina lakini alikuwa katika Usalama wa Taifa na akitesa watu. Waswedish walimkataa baada ya huyu Hashil kuprotest na kutoa ushahidi wà aliyoyafanya huyo jamaa
 
Rudi nyumbani ujenge nchi.....acha umbea na uzushi.....

Hujui nchi zinajengwaje masikini, deaf damn and blind.

Uandishi wa habari unaitwa mhimili wa nne kwa nchi za wenzetu, maana kazi za kuanika madudu ya serikali, kuripoti kinachoendelea kwenye halls of power ni kazi muhimu kama ile mihimili mingine mitatu.

Tena kwa huku third world ambako hatuna mahakama huru wala bunge wala upinzani thabiti, mwandishi wa kichunguzi mmoja anajenga nchi kuliko Jaji Mkuu na Spika na mawaziri na wasaidizi wengine wa Rais waliokaa miguu juu kazi kumdanganya Rais na kula mishahara na marupurupu na mapensheni mpaka wanakufa hawajaacha legacy yeyote ya kujenga nchi.
 
Kwa hiyo ndani ya wiki baada ya hili sakata la makontena jina lake limeshapelekwa nchi zaidi ya moja wakalitafakari jina lale kisha wakalikataa NDANI ya wiki wakarudisha jibu kisha likatumwa tena nchi nyingine wakalikataa nao NDANI ya wiki. Ni kutumia akili ya kuzaliwq tu kutambua uongo na ujinga huu.
Wewe ni mpumbav dab kaanza kupingwa leo?
Majitu mengine mko duniani kwa bahati mbaya...kwanza unahabari jamaa yako anatengeneza hela mpya azimwage mtaani baada uchumi kubuma
 
Kwa akili yako nakuona hapa kila siku nadhani zimo unadhani Magufuli anatoka 2020?? Usishangae hata 2025 anakataa Pascal Mayalla
Anaweza yeye asitake kutoka, but who is he kama wananchi kwa nia moja wanataka atoke?
Huo unaoonyesha ni unyonge, wangapi walitaka wasitoke na wakatoka? Kutoka sio hiari tuu wananchi wakitaka kiongozi atoke basi hata hiyo 2020 yaweza kuwa mbali
 
hivi kweli nchi moja inaweza kuipangia nchi nyingine balozi wa kumpeleka tena mpya?? maana angalau angekuwa alishakuwa huko tayari labda alishazingua lakini kwa mpya.....naomba kuelimishwa kwa wanaojua!!!!
 
Back
Top Bottom