Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Tetesi: Ansbert Ngurumo: Makonda anatafutiwa ubalozi

Kwa hiyo ndani ya wiki baada ya hili sakata la makontena jina lake limeshapelekwa nchi zaidi ya moja wakalitafakari jina lale kisha wakalikataa NDANI ya wiki wakarudisha jibu kisha likatumwa tena nchi nyingine wakalikataa nao NDANI ya wiki. Ni kutumia akili ya kuzaliwq tu kutambua uongo na ujinga huu.
Of course mengine ni kupakazana tuu mshikadau si unajua polojo zetu
 
Huyu Ngurumo ajengr nchi ipi. Lengo lake kubomoa sio kujenga. Ameshawishiwa aonekane mkimbizi na wengine wangefuata nyayo ila hawajajitokeza. Lissu nadhani anatafuta sababu naye awe mkimbizi pamoja na dereva wake. Mange naye yuko kwenye mpango. Watakuwa wanne je wataweza kushawishi ulimwengu kuwa TZ si salama eti inakimbiwa na wananchi wake kuhofia maisha yao? Leo anaongelea ya kufikirika kuhusu Making ujue nia yake nini ili kutimiza lengo kuifanya TZ iwe na watu wanaoitwa wakimhizi nchi geni?

Hata mimi pia ningekuwa na pa kwenda ningesepa, yani naongozwa na kichaa aka jiwe !!!!!
 
Tena wamkatalie kabisa asiende kutututia aibu na makalio yake kwa wazungu mtu anagawa kama njugu
 
Mtanzania.
Swali halikuwa linakuhusu kamanda. Hakuna Mtanzania mkimbizi. Wanaume aina ya Ngurumo ni hatari sana katika jamii, Maana ndio hao kila kukicha wanakimbia na kutelekeza familia zao zikipata tabu na kwenda kuanza maisha mengine na vichenchede.
 
UBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
Uongo eti nchi 5 zimemkataa kwani hizo nchi ndiyo zinamteua mtu au mtu anateuliwa na mamlaka ya uteuzi ya Tanzania?
 
UBALOZI umegeuzwa jalala Tanzania? JPM anataka kuachana na Makonda, lakini anaogopa kumtumbua ili siri zao zisivuje. Sasa anatafuta pa kumficha nje. Kikwazo ni lugha na rekodi yake mbaya. Nchi 5 zimemkataa. Bado wanabahatisha katika nchi 2 za Afrika zitumiazo Kireno na Kifaransa
Joke!
 
Hata wakati wa mjadala wa gesi ya Mtwara mlikuwa mnasema hivo kwamba wapinzani siyo wazalendo na wazushi. Leo jiwe analialia tu kwamba gesi imechukuliwa na wakubwa.
HAWA NI UMBWAA,mlichoshindwa ni kutambua iwaje swala la haki la kinchi liamuliwe kijeshi kama la gesi.huu ni umavi hii nchi inanuka sana ooh kkiwete mzuri mzuri,kama mzuri mkamuoe sasa.
 
Acha UONGO Kamanda! Mungu anakuona.

Sawa mkuu. Watu hawaelewi hayo mambo kwa sababu yanatokea hatua za mwanzo kabla ya kutangazwa. Nchi husika ikishakubali ndio inatangazwa ujio wa balozi mpya.

Balozi gay amewahi kukataliwa hapa kwetu. Utaratibu uko hivyo ndio maana ukiwakorofisha wanakutimua masaa 24. Nchi haikubali kumpokea mtu wasiomridhia.
 
Hivi mfano raisi akitemteua balozi,nchi husika inaweza kumkataa?
 
Back
Top Bottom