jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Nchi Tano zisizo na majina ....acha majuha kalulu yadanganyaneHivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi Tano zisizo na majina ....acha majuha kalulu yadanganyaneHivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Fanya tafiti kuhusu diplomasia. Usijizoeze kutafuniwa.Hivi balozi atakataliwaje?
Ndiyo.Hivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Kila nchi ni lazima jina lipelekwe Kama kupropose kwa balozi tarajiwa mkuu Kama nchi husika anakopropoziwa kwenda ikimkataa basi hakuna jinsi ndo diplomasia ya nchi huwa inabidi wapropose mwingine mpaka waridhike .sina kumbukumbu nzuri ila nadhani kuna mmoja alikuwa Kenya nchi Fulani ikataka kutuletea tukagomaHivi balozi atakataliwaje?
Ndiyo sisi tulikataa balozi shoga waingereza walitaka kutuleteaHivi Nchi inaweza mkataa balozi wa Nchi nyingine ambae ni mpya?
Wewe kama ng'ombe anaweza kuishi nawe pia unaweza, maana huna cha kuhoji. Inaitwa bora liende tuuHuyu Ngurumo ajengr nchi ipi. Lengo lake kubomoa sio kujenga. Ameshawishiwa aonekane mkimbizi na wengine wangefuata nyayo ila hawajajitokeza. Lissu nadhani anatafuta sababu naye awe mkimbizi pamoja na dereva wake. Mange naye yuko kwenye mpango. Watakuwa wanne je wataweza kushawishi ulimwengu kuwa TZ si salama eti inakimbiwa na wananchi wake kuhofia maisha yao? Leo anaongelea ya kufikirika kuhusu Making ujue nia yake nini ili kutimiza lengo kuifanya TZ iwe na watu wanaoitwa wakimhizi nchi geni?
Hivi unajua taarifa za siri za jamaa kuhusu ile biashara alikuwa anawasakizia wengine zinasemaje? Basi hapo ndio kachafuka.Inawezekana kama kuna sababu za kiusalama kama ushushushu, ugaid,lakin hizo ni kwa nchi zilizoendelea kama USA na RUSSIA, hawa akina ngurumo akili hazimo vema, hakuna sababu yeyote ya nchi kumkataa Makonda, pili hii siyo nguo kusema unajaribu isipokutosha unajaribu nyingine, yaan waulize kwamba jamani tuna Mtu huyo tumlete awe balozi,?? Alafu Tanzania isubiri majibu hahaha nimeamini Tanzania ni nchi ya watu wenye umaskini wa mawazo na ndo mtaji wa wajanja kupiga hela
Ndio zenu hizo, kubisha kila kitu hadi ushahidi uwekwe mbele yenu.Nchi Tano zisizo na majina ....acha majuha kalulu yadanganyane
Ongeza hapo na ile trillion 1.5 nayo isamehewe, hii ndiyo bongo ya kusameheanaKweli dada tusamehe saba mara sabini!?
Joka la makengeza asamehewe.
Ruge asamehewe.
Singh Seith asamehewe.
Mramba asamehewe.
Mgonja G. asamehewe.
Yona D. asamehewe.
Masamaki asamehewe .
Acacia/Barrick wasamehewe noah zetu.
Tusamehe 7x70 kwa wote waliofanya makosa kwani kama Mungu angetuhukumu kwa kila kosa,nani angepona!!?
Anaunga juhudi za kichaaWw ulioko hapa unajenga nchi????
Aje almbe viatu kama wewe?Rudi nyumbani ujenge nchi.....acha umbea na uzushi.....
Waambie hao , pamoja na nati mbovu mwezie anaitwa NIJAGE vile sio.Ndio zenu hizo, kubisha kila kitu hadi ushahidi uwekwe mbele yenu.
Kuna mtu mliambiwa ana kasoro upstairs mkabisha sana na kusema anavunjiwa heshima, baada ya yeye mwenyewe kukiri hadharani kuwa nati zangu zimedondoka mkabaki mmeinamisha vichwa. Mbona ma Tomaso nyie?
Hivi balozi atakataliwaje?